Uchaguzi wa NEC Hanang': Sumaye abwagwa na mama Nagu

Si nasiki ni mtu na demu wake sawa sawa tu wote ni wale wale.
 
NDOTO za Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, kushika madaraka ya kiserikali na kisiasa, zinazidi kuyeyuka baada ya juzi tena kugalagazwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu.
Sumaye ambaye alikuwa miongoni wa wagombea urais waliogalagazwa na Jakaya Kikwete mwaka 2005 katika mchakato wa kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM, amejikuta akiangukia pua wilayani Hanang’ alikojitokeza kugombea ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM.
Matokeo hayo bila shaka yatamweka pabaya kisiasa Sumaye endapo atajitosa katika mbio za kugombea urais mwaka 2015 kwani itakumbukwa kuwa ndiye alimwachia kiti cha ubunge Nagu, alipostaafu uwaziri mkuu.
 
Namshauri Sumaye aachane na siasa kabisa.Akalime mashamba yake na kufuga mifugo yake huko Hanang.
 
Tunajua ni nguvu ya pesa ilimgaragaza? What a corrupt country!
Hivi kuwa Rais ni mpaka uwe mjumbe wa NEC-CCM?
 
kushindwa kwa sumaye ni kifo cha ccm Hanang. Take it from me. Watu wa Hanang wanamheshimu zaidi Sumaye kuliko Nagu.

Tatizo Sumaye alithibitiwa na Takukuru wakati Nagu aliachiwa na analindwa na Serikali kugawa rushwa kwa kuwa yeye ni chaguo la wakubwa.

Pili, jina la Rais lilitumika kwamba JK amesema Nagu arudi na hilo halina ubishi.
Kwa hiyo, nagu ameshinda miongoni mwa wale wajumbe 1000 na siyo kwa watu wote wa HANANG. Subiri 2015 ccm itakavyoangukia Pua. Mbulu na Hanang ni mdomo na Pua najua siasa za Hanang sana.
 
Taarifa kuwa Sumaye ameangushwa na Mary Nagu kwenye uchaguzi wa NEC ni aibu kubwa kwa kiongozi mkubwa kama yeye. Labda niulize tu kuwa je kiongozi huyo ambaye alikuwa Waziri Mkuu anataka nini tena?
Uroho wa madaraka tu...
 
Habari zilizopatikana kuwa Lowassa alitengeneza timu Hanang kuakikisha jamaa afurukuti! TAKUKURU mpo wapi toka lini ukaona SACOSS watu watatu tu wanapewa treka tena wakati huu wa uchaguzi.

Umefika wakati sasa hivi nyombo vyetu vya usalama viache unafki zifanye kazi ipasanvyo! iweje taharifa zote hizi lakini hakuna aliyetiwa nguvuni.

Lowassa aliunda timu nini uko Hanang; na mapesa yote haya zaid ya millioni 300 zilizomwaga uko ili iweje? Hosea umeshindwa kazi. NCHI GANI RAIS ANAANZA KUCHAGULIWA NA KUJULIKANA KABLA HATA YA MUDA WA UCHAGUZI HAUJAFIKA.
 
Huo ndio ukweli, wanaoshangilia ushindi wa Nagu Hanang' wanashangilia kuzikwa kwa CCM Hanang' aidha kwa kujua au kutojua.

Mjumbe mmoja aliyeshiriki kupiga kura siku ile akiwa anaulizwa na wapenzi na washabiki wa CCM kuwa kura ulimpa nani? Akajibu Nagu. Akaulizwa tena, unadhani ukiacha ushabiki na takrima zinazotolewa nani angefaa zaidi? Akajibu Sumaye. Sijui unapata picha gani hapa.
 
kushindwa kwa sumaye ni kifo cha ccm Hanang. Take it from me. Watu wa Hanang wanamheshimu zaidi Sumaye kuliko Nagu.

Tatizo Sumaye alithibitiwa na Takukuru wakati Nagu aliachiwa na analindwa na Serikali kugawa rushwa kwa kuwa yeye ni chaguo la wakubwa.

Pili, jina la Rais lilitumika kwamba JK amesema Nagu arudi na hilo halina ubishi.
Kwa hiyo, nagu ameshinda miongoni mwa wale wajumbe 1000 na siyo kwa watu wote wa HANANG. Subiri 2015 ccm itakavyoangukia Pua. Mbulu na Hanang ni mdomo na Pua najua siasa za Hanang sana.
 
It was a big mistake he groomed his 'woman friend' to become what she is but later to be sent by her new bosses to turn her sword against him. It's 2015 in waiting. Pole sana kaka we learn by mistakes so next time watch out they are making sure that you will never resurface in active politics.
Remember what Mkapa did to his former boss Rwegasira he vowed to stamp him out of politics and he succeded.

Wanawake wengi hawana msimamo ndo maana hata kwenye mapenzi wajanja huhonga vitu vidongo visivyoweza kukuumiza ukibwagwa.
 
Kambi ya Lowassa haina muda wa kupoteza kupambana na mzee wa watu aliyejichokea kiumri na kiafya!

Kwa sasa inajipanga kumweka mrithi wake mara tu Professor Mwandosya atakapoachia ngazi yaani 2015 na wakati huo ukifika akigoma tu kung'atuka yatamkuta kama Mallecela, Msekwa,Sitta.

Kweli bwana maana Lowassa yeye ni kijana!!!!!!! ingawa anatetemeka vidole vyake! Watu mnao mwabudu lowassa mnamaudhi kweli!! hivi nchi hii haina watu wengine ni lowassa tu? na hao akina mwandosya? acheni ujinga huo bwana wakifa utaganya nini? usiabudu watu bwana!
 
Habari zilizopatikana kuwa Lowassa alitengeneza timu Hanang kuakikisha jamaa afurukuti! TAKUKURU mpo wapi toka lini ukaona SACOSS watu watatu tu wanapewa treka tena wakati huu wa uchaguzi.

Umefika wakati sasa hivi nyombo vyetu vya usalama viache unafki zifanye kazi ipasanvyo! iweje taharifa zote hizi lakini hakuna aliyetiwa nguvuni.

Lowassa aliunda timu nini uko Hanang; na mapesa yote haya zaid ya millioni 300 zilizomwaga uko ili iweje? Hosea umeshindwa kazi. NCHI GANI RAIS ANAANZA KUCHAGULIWA NA KUJULIKANA KABLA HATA YA MUDA WA UCHAGUZI HAUJAFIKA.
Ah, ndugu yangu, mimi tangu zamani naamini kwa dhati kabisa "kwamba Tanzania hakuna serikali, kuna genge tu!!
 
kwanini bwana? ama unaogopa kuna maslahi yako yataguswa?
Maslahi yangu yataguswa kweli!Mafuta,Gesi,Dhahabu na madini mengine yote ni maslahi yangu,chochote kilicho cha nchi hii ni maslahi yangu!Akiwa PM huyu jamaa ktk kipindi chake nd rate ya mikataba mingi mibovu ya kifisadi ilisainiwa (Rate= mikataba/time). Sipati picha akiwa presidaa kwa miaka mitano tu kama hajatuuza hata sie! si bora nitafute kwa kwenda!
 
Back
Top Bottom