tendwwa toa tamko
Kumbe na wewe magamba?!
Yupo hapa Goldenrose hotel, anaongea na waandishi wa habari, akimtaja waziwazi Samwel Sitta kuwa ndio anayefaa kuwa raisi ajaye. Anamwagia sifa lukuki, na ndio maana jana Sitta alisema makundi ndani ya ccm mwisho november mwaka huu.
Source: Nipo ukumbini mimi mwenyewe
Kwa hiyo Six ndiye aliyemtuma kuvuruga uchaguzi? sijakuelewa hapo
Siku hizi chaguzi za magamba unatakiwa uwe unapasha vuma na kuna wa mbio.. anyway Tendwa ni kipi chama chenye vurugu?
Yupo hapa Goldenrose hotel, anaongea na waandishi wa habari, akimtaja waziwazi Samwel Sitta kuwa ndio anayefaa kuwa raisi ajaye. Anamwagia sifa lukuki, na ndio maana jana Sitta alisema makundi ndani ya ccm mwisho november mwaka huu.
Source: Nipo ukumbini mimi mwenyewe
Sjakusoma mh hebu nyoosha manenoChitanda ni katibu mkuu wa CDM Arusha, chama ambacho ni cha vurugu, alienda kufanya nini ktk uchaguzi wa CCM?
Mh Nape bado haujarudi toka shopping na kuishitaki CDM kwa kuleta vurugu ktk chaguzi zenu?
Mkuu Mestod,Tendwa yupo likizo bana. Anapumzika kwa washiri akiwauliza walikosakosa vipi kumuua lema kwenye uchaguzi arumeru mashariki.
Kila siku viongozi wa CCM wanatuambia CDM ni chama cha vurugu. (The moral of my story)Sjakusoma mh hebu nyoosha maneno
Huyu mama alishawahi kusema uhisiano wake na rais unaenda beyond kazi za chama na serikali,yeye,mkuu wa mkoa waliletwa kwa kazi maalumu lkn cha kushangaza mkoa wa Arusha umekuwa ngome ya kubwa ya CDM,kavuruga chaguz ili mtu anayetakiwa na Ritz 1 ashinde pamoja na kumwaga hela zote hizo bado mipango yao imekwama....