Uchaguzi ujao vyama vingine vya siasa viunge mkono CDM

frenki katto

Member
Apr 2, 2012
5
0
Wana JF napendekeza kama utatokea uchaguzi ndogo ktk nchi yetu ingekuwa vizuri vyama vingine kama kweri vina nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania viunganishe nguvu kwa cdm kwani kwa matokeo ya Arumeru kuliko kungangania kuweka mgombea mwisho wa siku chama kinapata kura 18
 
ndugu yangu vyama hivi vidogo vinapata msaada wa fedha kutoka ccm ili vishiriki katika maamuzi ya NEC kama kamati ya maadili kwa dhamira ya kupambana na CDM.Pia mara nyingi wanatumia mawakala wao kuhujumu CDM kwa hiyo kamwe haviwezi kuunga mgono.Muhimu ni kwa CDM kutambua mbinu hizi ili kwenye kamati za maadili vyama ambavyo havina wabunge na madiwani visishiriki katika kutoa maamuzi mengi
 
Hapana, viendelee na ukiritimba wao hivyo hivyo, after all havina madhara yoyote!
 
Back
Top Bottom