kilitime,
hebu pitia orodha ya wajumbe wa CC-CCM hapa http://www.ccmtz.org/0kamatikuu.htm halafu uniambie kama kura ikipigwa ili kufanya maamuzi ambayo EL na JK wanataka yakubalike kwa kura ya ndiyo, unategemea watashindwa?
Demokrasia siku zote ni mchezo wa namba tu, na kura ni kiini macho cha demokrasia. Ndiyo maana JK alipopewa rungu la umwenyekiti kitu cha kwanza ilikuwa ni kuweka watu wake ili aweze kupata namba ya kutosha kwenye maamuzi na hivyo awe na uwezo wa ku-influence maamuzi hata pale wajumbe wakisema wapige kura ili kufanya maamuzi.
Kwa hiyo kinachoendelea kwenye cc-ccm na bungeni ni mchezo ule ule, maana huwezi kwenda kinyume na aliyekupatia ulaji na siku zote lazima ulinde maslahi yake vinginevyo ukienda kinyume nae una-risk kunyang'anywa ulaji. May be ndiyo maana watu wanaunganisha swala la kampeni za kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya ccm na swala la Maregsi kutupwa nje.
Mzee Mashishanga yuko wapi? He was open kwamba he was pro-Sumaye na alimuahidi Sumaye kwamba wakazi wa mkoa wa Morogoro wangempa kura zote iwapo angeteuliwa kugombea urais kupitia CCM.