Uchaguzi Mkuu wa CCM 2012: Tumsapoti Lowassa

ha ha ha, hizo ajenda za mkutano wenu zitapitishwa na nani? nani atampa form? kamati ipi itampitisha ili agombee hiyo nafasi? forget it my friend na hiyo Dira yako.
 
Ni kweli kabisa kwa mtazamo wako lakini utashi unasema mbona huyo lowasa ana ksshifa nyingi anasafishika? au ninyi ndo mlimtuma? huwagawia hato mapesa? maana sioni sababu ya maana sana kwa yeye kupigiwa upatu kwa kila kitu mradi tu aukwae urais 2015. Kuna nini hapo? Mbona hamsemi Salim Ahmed salim, au Mkapa au Sumaye au Warioba, au hata mzee Malecela/ Kwanini kila kitu Lowasa tu. Mh! There must something wrong somewhere.
 
Hapo kwenye red and underline, sijakuelewa???
 
For sure we need a person mwenda wazimu kama Lowassa lakini siyo Lowassa jamaa yake amemchafua sana
 
Kwa mujibu wa gazeti la Dira, toleo la leo kama kweli tunaitakia mema nchi yetu basi tumuunge mkono Lowassa, achukue uenyekiti wa chama taifa na JK abaki na urais wake.
Toa TAKATAKA zako hapa,waambie MAGAMBA wenzio
 
Hilo gazeti halina dira ila lina diri................acheni kutengeneza madiri kwa njia ya majina kmn dira.................siamini km watz bado wataendelea kudabganywa kitoto kiasi hiki na ccm...................kiongozi thabiti hatakuja kutokea ndani ya ccm hata siku moja................mabadiliko ya kweli yataletwa na viongozi wa maana na wenye uchungu km dr.slaa tu...............
 
Kwa mujibu wa gazeti la Dira, toleo la leo kama kweli tunaitakia mema nchi yetu basi tumuunge mkono Lowassa, achukue uenyekiti wa chama taifa na JK abaki na urais wake.
Kama ana kiu kali ya urais si lazima apitie CCM kama wao hawamtaki vipo vyama vingi tu......CDM, CUF,UDP..........au aanzishe chake(nasikia ana pesa nyingi).......Kugombea nafasi ya uongozi ni haki ya kila raia.........muacheni atumie haki yake labda atabadilika na kuwa kama Sokoine
 
Kila kukicha Lowasa lowasa. Hakuna mtu mwingine ndani ya ccm?
 
Hilo gazeti halina dira ila lina diri................acheni kutengeneza madiri kwa njia ya majina kmn dira.................siamini km watz bado wataendelea kudabganywa kitoto kiasi hiki na ccm...................kiongozi thabiti hatakuja kutokea ndani ya ccm hata siku moja................mabadiliko ya kweli yataletwa na viongozi wa maana na wenye uchungu km dr.slaa tu...............

Mkuu hilo avarta lako limenikumbusha mbali, bila shaka hiyo kitu ni Nokia 8310 enzi hizo bwana. Yeah, I agree with you hakuna kiongozi mwadilifu ndani ya CCM kwa sasa, kama tunahitaji tumaini jipya ni Dr Slaa for presidency Office in 2015.
 
Hakuna mwingine kila leo Lowasa Lowasa, out hilo group wapo wengi na bado hawachafuka kama huyu Lowasa
 
Mi nawashauri Mods waziweke thread zote zinazomhusisha EL na urais au uenyekiti mahali pamoja ili kupunguza thread za namna hiyo! Zinatuchosha!!!!?
 
Akishindwa CCM atakuja Chadema ok..na hakuna wa kumzuia huko..

Cdm sio chama cha majaribio! Wewe mwenyewe kimekushinda. Umeutangazia umma kuhamia cdm kwa ID ya Mwita 25 nyingine zimekushinda. Unabahati hawakuijua na hii maana ungekuwa unaitwa Mbwa Topical Mwita 25!
 
Nani atamzuia chadema Lowassa anachukua tu (anaweka dau kubwa kupita la sobodo)

Besides, keep on guessing
 
Back
Top Bottom