Ubungo-Gomz daladala!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mama mmoja baada ya purukushani na kukurukakara nyingi,alifanikiwa kuingia ndani ya DSM la ubungo-g/mboto.Mama alipoingia ndani ya daladala alidaka chuma la juu kuji-support bila hata kuangaza macho kama kuna siti iliyo wazi.Mara kijana mmoja akamgusa bega na kumwonyesha siti iliyo wazi.Mara baada ya kukaa,yule mama akaanza kulia.Alipohojiwa kwanini analia,akajibu,"huwezi kuamini mwanangu,huu mwaka wa tatu toka nihamie gongo la mboto,sijawahi kupata siti kwenye daladala ninaporudi nyumbani,yaani hata siamini kama nimepata siti".

.........Baada ya kustuka akajiona eeh kumbe alikuwa anaota...ni ndoto bado kupata seat magari ya G-Mboto maan wajanja wanapita madirishani na kujaza seat zote faster

Wamama wa mbez mwisho nao wanavaa pensi ndan kwan wanadandia madirisha hao! usiombe bac la posta au k/koo ltokee asbh

Wamama wa mbez mwisho nao wanavaa pensi ndan kwan wanadandia madirisha hao! usiombe bac la posta au k/koo ltokee asbh

Kitu mbagala,nilishawahi kupewa msuli na mwanamama mlangoni mwa daladala,almanusra nilambe lami!

Kitu mbagala,nilishawahi kupewa msuli na mwanamama mlangoni mwa daladala,almanusra nilambe lami!

hauna mazoez. Mwanaume ujikaze. Au na we ni nitachafuka men!

hauna mazoez. Mwanaume ujikaze. Au na we ni nitachafuka men!

Mazoezi ninayo sana,ila nikajua huyu ni mwanamke tu kwa hiyo hata mwili sikuukaza saaana,lakini mambo yakawa tofauti!

mbona sisi wa goms siti huwa tunapata! sema inategemeana na muda unao safiri
kama ni asubuhi/jioni ni balaaa

mbona sisi wa goms siti huwa tunapata! sema inategemeana na muda unao safiri

kama ni asubuhi/jioni ni balaaa

Ndio,hata mama mwenyewe kasema hajawahi pata siti mida ya jioni anaporudi nyumbani!

Back
Top Bottom