Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Tusidanganyane jaman,
TECNO ni kampun makini sana kama kampun nyngne za cm,
Kampun zote znaingiliwa na wahun ambao hukopi kama zile orijno mf ukiangalia sm za NOKIA,SAMSUNG uknunua aina fulan toleo la 1 baada ya 6miez utapata tu fek yke, be care
 
Mfano wa ulichokitoa sio watumiaji wote tunatumia..nazungumzia apps ambazo ni commonly used. Simaanishi kuwa natumia simu hii,nilipewa kwa ajili ya kufanya testing na nikaikubali.

mkuu hata hizo common used ukizifungua 2 au tatu kwa mpigo si zitalag kwenye hio ram ya 512?

hebu tuangalie kwa mfano maana nina sim ya 512mb nina apps 3 tu sababu nikiongeza simu itakua slow, natumia whatsapp, opera-mini na im+ basi lakini ona free memory iliobaki

sRU2mON.png

nikiongeza kitu nakosa speed na experience ya kutumia simu.

na kama unatoka feature phone tusibishane sana maana inawezekana huna experience ya simu yenye specs kubwa. tafta mtu mwenye simu ya ram 1gb au 2gb shika tumia then utaona utofauti
 
Nshawapata kosa kubwa la TECNO ni kwamba imeandikwa
made in China,
na pia ina instruction za kiswahili,
mf.gotoka,simu inapakua,ujumbe umetumwa,huduma za intanet,meneja ya faili,media ya sauti na kadi ya kumbukumbu ndo vitu vnafanya ionekane feki mmh
 
mkuu tecno sio fake ni low quality phones.

simu fake ni ipi na low quality ni ipi?

fake ni ile ambayo inapromise kitu ambacho haina. mfano umeandikiwa icon ya wifi then ukiclick ni bluetooth, ina app ya fb ukiclick wanakupeleka kwenye browser ya kichina, imeandikwa kwenye box ni hd wakati kioo ni 128x128

tecno ni low quality vitu vyote inavyo wifi, 3g, android na kila kitu sema vipo vya low quality. mfano kwenye simu zake wanatumia vioo vya tft ambavyo havina gorila glass (vioo vigumu). wanatumia resolution ndogo (240x320, 320x480) processor ndogo, ram ndogo.

hope umeelewa

Bado sijakubaliana na wewe..
Simu Made in China ziko ktk madaraja 3..
1. Orijinal,ambazo huuzwa zaidi Uk,USA,ASIA na ni ghali haswa.. like Dapeng,Motorrola,ZTE, Tecno nk..
2.Hizi ni copy ya orijinal ambazo huuzwa China yenyewe,Dubai,Asia,na Baadhi ya Nchi za Africa( hizi huwezi toa kasoro zikiwa pamoja,I mean copy & original)
3. Hapo ndipo vurugu zilipo,hizi hazina trade mark,wala warrant card..
Na huuzwa Nchi maskini ikiwepo Tanzania..
Tecno as Tecno,ni simu original yenye quality pouwa na bei ya chini..
Imelenga kuweka ushindani na Nokia,Samsung,Lg nk..
Smart Phone N7,Phantom,P3 ni simu bomba, zina uwezo na internet ya 2G,3Gna 4G..
Mimi ni muuzaji wa Simu 10yrs sasa,nazifahamu sana fake na original..

NB;
Fake huwezi kupewa warrant
Original utapewa 1yr + 1month warrant..
 
hapo umeongea politics tu, kiwanda cha tecno kipo wapi? makao makuu yapo wapi? (ueke source za internet)
 
Micromax wanauzaje simu na maduka yapo wapi

Huwezi niuliza samsung zinauzwajwe... Kuna aina nyingi za samsung... Ila kuna jamaa alikua anaziuza model flam hv ilikua inaenda mpaka 70 znaendana na ideos umbo jaribu kupitia mtandaon utaona bei zao ktk bidhaa tofauti
 
Mkuu nimezungumzia apps sio specifications.

Wewe usiwe mbishi kwa mfano Instagram kuna insta video ambayo kama simu ya android si version 4 na ram zaidi ya 1GB and upper haisupport.... .

Kuna application kibao huwez ku install ukiwa na android version chini ya 4..

Halaf jiulize TECNO wanatoa UPDATE za firmware yako..???

TECNO HAIPO HATA KWENYE LIST YA GSMARENA......
 
Mtazamo wangu ni hivi,
Watanzania wengi ni malimbukeni wa majina na ndio maana wengi wamelizwa vitu feki kwa kukimbilia majina. Mi nimewahi kutumia simu nyingi ikiwemo Tecno mara ya mwisho nilikuwa na N3 it's a very nice phone kwa matumizi ya kawaida.

Now natumia Xperia coz hasa nilitaka camera kubwa coz napenda quality photos. Lakini ningeendelea tu kuwa na ka Tecno kangu kalikokuwa kanatwanga mzigo poa tu.

Simu nyingi siku hizi zinatengenezwa China (hasa hayo majina makubwa) kutokana na kuwa na low operation cost compared to huko waliko na origin zao.

Kwasababu ya ulimbukeni wetu tumekuwa tu tunakimbilia majina makubwa na bei kubwa bila hasa kuangalia matumizi yetu na nini tunakihitaji kwenye simu.

Yes kuna fake Tecno kama kulivyo na fake iPhones, Samsung, Sony, LG, BlackBerry na nyinginezo
 
Ndugu kuna ubishi umetokea mtaan kwamba simu aina ya tecno ni fake ,wengine wakidai ni orignal .hapakuwa na evidence yoyote ya kuweza kuproove zaidi ya kuangalia IMEI bhasi.wanajamvi kwa mwenye ujuzi tafadhali 2pe msaada

kwani ufake wa simu huko wapi??? Maana hata mimi nilishawahi kukutana na ubishi kama huo..lakini nikajaribu kuchunguza nikaona kuwa watu wengi wanaamini kuwa simu fake ni ile ambayo ina sifa mbili.
1.iliyotengenezwa China
2.isiyofungua intanet....wakati wataalamu wanaanini kuwa simu yenye IMEI ndiyo orijino nami pia nikachunguza na kugundua kuwa simu kuwa na IMEI si kigezo tosha cha kuwa orijino...cha msingi hapa ni kwamba simu orijino zina model yake kwa mfano.nokia x2,nokia asha 200 na samsung gallaxy S4.na ndoo maana kuna baadhi ya Tecno ni orijino mfono zile zinazokuja na Operamini pamoja na whatsapp...so ni hayo tuu wadau japo nina nokia ya toch....
 
Wazee kwanza tecno ni kampuni ya wahindi na sio wachina kama wengi mnavodhani,
Kampuni hii wakati imeingia Africa iliiga mchezo wa kampuni za kichina kutengeneza low quality products kwan ndo zilizokua kwenye hit but baada ya kuanza tengeneza HD phones baabdae kija kwa android kampuni hii wanatoa vitu bora hakuna japo zinakua zinalack ubora katika screen na display zake,
Moja ya sifa kuu ya tecno wameweza sana swala zima la bettry hapa kampuni zote watasubiri kama uamini tafuta bettry la tecno weka kwenye android ako au hata nokia ya kawaida uone hayo matumizi tumia uwezavyo lakni bado ipo vzr.
Hyo ndo tecno kampuni inayo kua kwa kasi!!!!
 
Tecno kama brand ni brand maarufu duniani ikiwa na makao makuu Hongkong sasa ufeki hata Apple kuna feki
Hapa hatukatai kwamba Mchina hana vitu bora anavyo tu mfano ninayo laptop ya Acer Aspiere TimelineX Intel Coer i3 made in China vitu vyake ni vizuri mno hata kwenye soko computer za Acer ziko juu kwa ajili ya ubora wake,lakini hapa ubishi wetu ni kuwa Tecno sawa wanatoa sim original lakini hawajatoa za kufikia kiwango cha s3 au s4 kwa ushahidi jamani kuna app kwenye play store ya Android inaitwa Antuntu Benchmark hawa jamaa wanakupa orodha ya sim za Android na rank zake kuanzia ya juu mapaka ya chini sasa tucheck kwenye hii app tuone model ya tecno iliyopo kwenye orodha ni ipi na ni ya ngapi nafikili hapa tutapata ufumbuzi km sio kumaliza ubishi wetu kabisa.
 
By mfianchi

Tecno Phantom
 
Mnabishana nn aisee kujua cmu ni orijino au fekI ni kazi ndogo tuu omba IMEI no then angalia tarakim ya 7 na 8 hzo ndo znadetermine ipi feki ipi orijino sema kwa sahv cwez sema kila k2 4 moRe info ntrudi kumalzia hZo tarakimu ya 7na 8 lakin huyu mnyAma muachen aisee mcifmguse na tecno zenu S4

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Bei rahis+ techno = mchainizi!! Hii haiitaji kalkuleta jaman!!!

hata hili nalo jamani mpk tupge ramli cm ni specification the higher the better, cm ya kisasa ni hii 1.5ghz quad core processor or above, ram 1gb or above,intenal storage atleast 4gb, 5mp camera!! brand pia ni muhimu ili hata ikicrash kuirepair iwe rahisi any OS!!
 
... mimi kwenye Nokia 3310 siambiwi lolote. Milio bomba, alarm, sms safi, buttons zimetulia, antenna ndani kwa ndani. Nyie endeleeni kujadili.
 
Back
Top Bottom