Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Hapa tunadanganyana tu wakuu labda mambo ya s4 labda hatuyajui u can't compare this with tecno maana kuna vitu vingi tu tofauti mfano RAM 1.6 camera 13megapics,Air gesture,smart stay just to mention few so huwezi compare

Mkuu nimezungumzia apps sio specifications.
 
Si sawa..ila anapata apps karibu zote zinazopatikana kwenye S4,so kwa mtu mwenye uwezo mdogo wa kifedha can go for it.

mkuu ukiwa huna android ya yenye ram 1gb na dual core processor unapata ---- application tu, hutacheza hd game hata moja kwa raha. nyengine hata store huzioni, labda uwe sio fans wa magame
 
Hapa tunadanganyana tu wakuu labda mambo ya s4 labda hatuyajui u can't compare this with tecno maana kuna vitu vingi tu tofauti mfano RAM 1.6 camera 13megapics,Air gesture,smart stay just to mention few so huwezi compare

yaani kwa kuwa nj android 4.1 basi unaanza tu ku compare na galaxy au masimu mengine ya window phone na ios. Ki uhalisia hizi galaxy mfano S4 au s3 unakuta ina mambo mengine mengi mazuri ambayo ukiambiwa unaweza ukadhani vimetoka mbinguni kumbe ni watu tu na akili zao. Mambo ya innovations hayo. Simu ina sensor tofauti tofauti, simu ina ma gps ya kisasa na mambo mengine ya ajabu! Halafu unaanza tu ku compare!
 
Hapa tunadanganyana tu wakuu labda mambo ya s4 labda hatuyajui u can't compare this with tecno maana kuna vitu vingi tu tofauti mfano RAM 1.6 camera 13megapics,Air gesture,smart stay just to mention few so huwezi compare

Umeeelewa???? au unaweweseka
 
mkuu ukiwa huna android ya yenye ram 1gb na dual core processor unapata ---- application tu, hutacheza hd game hata moja kwa raha. nyengine hata store huzioni, labda uwe sio fans wa magame

Kwanza huwa nikinunua simu baada ya kufanya settings nafuta games.
 
still kuna apps kubwa kubwa unakosa mkuu. inshort ukiwa power user unatakiwa uwe na simu yenye uwezo kidogo ni huu umaskini tu.

sababu ram ya 512 inabidi hadi ujibane hata multitasking usifungue apps nyingi.
 
Mkuu hapo kwenye RED umepiga Pentagon..... Hakuna asiyependa kizuri ila ni ukosefu wa FEDHA!!!!
 
still kuna apps kubwa kubwa unakosa mkuu. inshort ukiwa power user unatakiwa uwe na simu yenye uwezo kidogo ni huu umaskini tu.

sababu ram ya 512 inabidi hadi ujibane hata multitasking usifungue apps nyingi.

Mkuu hapo kwenye RED umepiga Pentagon..... Hakuna asiyependa kizuri ila ni ukosefu wa FEDHA!!!! :disapointed:
 
Bei rahis+ techno = mchainizi!! Hii haiitaji kalkuleta jaman!!!
 
kuna kitu inaitwa Tecno Phantom A. Hiyo kitu usipime. inafanana na samsung galaxy kila kitu.....good quality android phones in cheap prices

Copy and pest!! Mchina ni mchina tu hata ukiwa na android!!
 
still kuna apps kubwa kubwa unakosa mkuu. inshort ukiwa power user unatakiwa uwe na simu yenye uwezo kidogo ni huu umaskini tu.

sababu ram ya 512 inabidi hadi ujibane hata multitasking usifungue apps nyingi.
Kubwa kubwa kama zipi mkuu..
 
Kubwa kubwa kama zipi mkuu..

dj studio 5 inataka ram 1gb, huo ni mfano tu zipo hizo apps kwa maelfu.

note 3 inatoka na ram 3gb, minimum requirement ya 4.1 jb ni 512 ram na sjaona simu yenye 4.2 yenye ram ya 512mb

hayo yote yanaonesha unatakiwa haraka ukimbie 512 uje 1gb
 
Mm HTC, Huawei Lenovo Na Zte Pia Kuna Xiaomi Naona wanaenda Vzuri!! Nikitaka Cheap Phones Bas Bora Niende Micromax Hawa jamaa wana vitu Vya bei ndogo Na nI vizur kuliko Tecno

Micromax wanauzaje simu na maduka yapo wapi
 
dj studio 5 inataka ram 1gb, huo ni mfano tu zipo hizo apps kwa maelfu.

note 3 inatoka na ram 3gb, minimum requirement ya 4.1 jb ni 512 ram na sjaona simu yenye 4.2 yenye ram ya 512mb

hayo yote yanaonesha unatakiwa haraka ukimbie 512 uje 1gb

Mfano wa ulichokitoa sio watumiaji wote tunatumia..nazungumzia apps ambazo ni commonly used. Simaanishi kuwa natumia simu hii,nilipewa kwa ajili ya kufanya testing na nikaikubali.
 
Back
Top Bottom