Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

Ukiwa unamu-address mtu usitumie neno "wewe" huo sio ustaarabu. Nielewe,sizungumzii mambo ya quality na vitu kama Insta Video..sio wote tuko huko,sina Instagram na sihitaji kuwa nayo,nazungumzia apps za kawaida ambazo nimesema ni commonly used kwa watu.
Watu wazima hawabishani wanaeleweshana..usiwe unatumia maneno ya namna hii kwa watu usiojuana nao.

Kabisa mkuu.. Kuna watu wanaongea vtu vya ajabu sana...
Mimi napata mawasiliano yoote ninayo yahitaji,
Kuangalia movie Youtube
GPS,WI-FI,WCDMA ina 3G na 4G.Full Kudownload Movie..
Naangalia live,skysport ..
Tango,Istagram,Skype,navyoote vya umuhimu kwa hii Phantom ya Android 4.2.2
Ipi tofauti na S3 ama S4?
 
Luna kitu Techno phantom A(F7),kiko mtaani kinauzwa laki tano mpaka laki sita kutegemeana na maali,hicho kitu balaa.
 
Vizuri km unatumia Wntuntu sasa fungua option ya chart hapo wanakupa orodha ya sim za Android kuanzia ya juu hebu cheki km N7 yako 8naonekana au vipi

Bar chat iko hivi..toka juu
1.S4
2,HTC one
3,SonyEricson Experia 7
4,Google Nexus 4
5,S,Note
6,S3
7,Google Nexus 10
8,Google Nexus 7
9,Asus Transformer Prime
10,S Note
11,S3
12,S Nexus
13My Device 6147 N7
 
ukiwa unamu-address mtu usitumie neno "wewe" huo sio ustaarabu. Nielewe,sizungumzii mambo ya quality na vitu kama insta video..sio wote tuko huko,sina instagram na sihitaji kuwa nayo,nazungumzia apps za kawaida ambazo nimesema ni commonly used kwa watu.
Watu wazima hawabishani wanaeleweshana..usiwe unatumia maneno ya namna hii kwa watu usiojuana nao.

sasa apps gani common maana sijaona unazitaja... Calendar, gallery, au??? Maana hata clock ni common
 
Kabisa mkuu.. Kuna watu wanaongea vtu vya ajabu sana...
Mimi napata mawasiliano yoote ninayo yahitaji,
Kuangalia movie Youtube
GPS,WI-FI,WCDMA ina 3G na 4G.Full Kudownload Movie..
Naangalia live,skysport ..
Tango,Istagram,Skype,navyoote vya umuhimu kwa hii Phantom ya Android 4.2.2
Ipi tofauti na S3 ama S4?

INA AIR GASTURE??, MULTI WINDOWS, INA REMOTE CONTROL YA TV.. MBONA MANAFANANISHA VITU AMBAYO AVIFANANI HATA KIDOGO. .. S4 na Tecno??? Uwiii

Hebu tembea na Tecno yako na mwingn atembee s4 uone..... hata jaribuni kuuliza Google Tecno yako na S4 which is better
 
Bar chat iko hivi..toka juu
1.S4
2,HTC one
3,SonyEricson Experia 7
4,Google Nexus 4
5,S,Note
6,S3
7,Google Nexus 10
8,Google Nexus 7
9,Asus Transformer Prime
10,S Note
11,S3
12,S Nexus
13My Device 6147 N7
Mkuu jaribu kucheki bar chart yako maana ktk orodha hiyo kitu yako sijaona!
 
Kabisa mkuu.. Kuna watu wanaongea vtu vya ajabu sana...
Mimi napata mawasiliano yoote ninayo yahitaji,
Kuangalia movie Youtube
GPS,WI-FI,WCDMA ina 3G na 4G.Full Kudownload Movie..
Naangalia live,skysport ..
Tango,Istagram,Skype,navyoote vya umuhimu kwa hii Phantom ya Android 4.2.2
Ipi tofauti na S3 ama S4?

tofauti Ipo Sana Mkuu!! Kwan Simu kama S4 ni kuingia instagram na tango tuu?? Nakupa Tofauti Chache

1. Camera Yako haina Ubora kama s4 au s3. Hata s2 kakuzidi

2. Mwenzako Wa S4 ana LTE network [usijitete bongo hamna LTE] ww una 3g tuu

3. Ana Super AMOLED capacitive touchscreen inayokua protected na Corning Gorilla Glass 3 ila ww una Tft screen usipo ilinda vizuri ifweeeee

4. OS Android OS, v4.2.2 (Jelly Bean) Ww una 4.1 jelly Bean [na sidhani kama Wataleta Updates ila Hii Samsung Am sure itazidi kupata updates na huwa inakua moja ya Device za mwazo kupata updates

5. Capacity Ya Betry Yako ni (2100mAh) S4 ana 2600 mAh [japo Sio Tatizo sana maana unaweza badilisha]

6. Processor Yako ni CPU frequency : 1.0 GHz Dual Core CPU : MT6577H [
very cheap Processor ] mwenzako wa s4 ana Quad-core 1.6 GHz Cortex-A15 & quad-core 1.2
GHz Cortex-A7 [very Expensive Pprocessor]

7. Ram Yako Ni 1 gb Internal Memory Ni 4gb Na Unaweza Ongeza Mpaka 32 Gb Yeye Wa Samsung Ana Chagua Kati Ya 16/32/au 64 Kutokana na uwezo wake pia Ram Yake ni 2gb Na anaweza Kuongeza Memory card Mpaka 64 Gb

hapo sijagusia Sensors Na Vitu Vya Adition Kama Gestures... af Ukiangalia Katika Website Ya Tecno V2 Vya Adition Wameweka opera, Facebook, Google Map Na Play store.. kwan Kuna Androids Isiyo Suport Hivyooo???

Haya Ngoja Nikutengenezee Lugha Ya Picha

chukulia Androids Ni Mtaa Au Sehemu Nzuri Sanaaa!! kwa Tz Pretend Androids Iwe Oysterbay then Hizi Simu Ziwe Nyumba !! ila Kuna Nyumba Nyingi sana Pale Na Za Gharama Tofauti Nyumba Ya Tecno Iwe Na Mlinzi Mgambo, Sio Ghorofa Haina Hata Ka Swiming Pool Kuogelea Mpaka Uzunguke Kule Coco Beach, ndan Imewekwa Tv Ya Chogo Na King'amuzi Cha Star times Pia Akitaka kwenda Town hAna Support zaidi ya lift na taxi [usiseme wa oyster bay wote wana magar maana hii ni lugha ya picha tuu!! Af nyumba Ya Samsung Iwe Na Electronic security, Pia Iwe Na Swiming Pool Ndan [ila Akitaka kwenda coco Beach Anaenda kama kawa] Ndan Full Hd tv Na King'amuzi Cha Dstv na Akitaka kwenda town Ana Suport Ya Kutosha ya Range Au gari yoyote ile [akitaka lift na taxi pia ana panda] HIVI hAWA wATU WATAKAO KAA hUMO WATAKUA SAWA?? usawa wao Ni Kukaa oyster bay [ambayo ndo iwe androids] ila uwezo n tofaut kabisa
 
mkuu

tecno sio fake ni low quality phones.

simu fake ni ipi na low quality ni ipi?

fake ni ile ambayo inapromise kitu ambacho haina. mfano umeandikiwa icon ya wifi then ukiclick ni bluetooth, ina app ya fb ukiclick wanakupeleka kwenye browser ya kichina, imeandikwa kwenye box ni hd wakati kioo ni 128x128

tecno ni low quality vitu vyote inavyo wifi, 3g, android na kila kitu sema vipo vya low quality. mfano kwenye simu zake wanatumia vioo vya tft ambavyo havina gorila glass (vioo vigumu). wanatumia resolution ndogo (240x320, 320x480) processor ndogo, ram ndogo.

hope umeelewa
Fake zote ni low quality lakini siyo low quality zote ni fake.simu za mchina zenye kiwango ni HTC na huawei
Zikifuatiwa na tecno na zte
 
Bar chat iko hivi..toka juu
1.S4
2,HTC one
3,SonyEricson Experia 7
4,Google Nexus 4
5,S,Note
6,S3
7,Google Nexus 10
8,Google Nexus 7
9,Asus Transformer Prime
10,S Note
11,S3
12,S Nexus
13My Device 6147 N7

Kiboko yao ni samsung GT-wifi with touch screen kama hii yangu. Labda bei tu ndio shida maana ni USD950.
 
Simu zote zinazouzwa hapa Tanzania inatengenezwa China.iPhone Samsung Nokia Motorola n.k.kuna kampuni inaitwa foxccon,wanatengeneza laptop za apple Toshiba HP Dell Sony. almost everything about electronic s.
 
Ndugu zangu, mimi naona hapo kitu kikubwa ni kipato i.e Fedha.
Kwa kweli tukiangalia kipato cha watanzania wengi takriban 80%, Tecno ni Mkombozi ambaye angalau ameweza kuwatoa watu Matongotongo ya Java na kuwanawisha maji ya Android.
Kwa mtazamo wangu, ISINGEKUWA UJIO WA TECNO NA KUWAONESHA WAAFRIKA HUSUSANI WATANZANIA MAMBO YA ANDROID/SMARTPHONE BASI HIZO SMARTPHONE ZA SAMSUNG WANGETUMIA AKINA Chief Mkwawa tu na anaofanana nao kwani bidhaa za Samsung gharama zake ziko juu ambazo si watanzania wote wanaweza kumudu. Lakini Tecno ana gharama nafuu ingawa ni low Quality.
Ni ukweli usiopingika kwamba Tecno hawezi KUFANANA na Samsung ila Wataishia KURANDANA tu.
 
Ndugu zangu, mimi naona hapo kitu kikubwa ni kipato i.e Fedha.
Kwa kweli tukiangalia kipato cha watanzania wengi takriban 80%, Tecno ni Mkombozi ambaye angalau ameweza kuwatoa watu Matongotongo ya Java na kuwanawisha maji ya Android.
Kwa mtazamo wangu, ISINGEKUWA UJIO WA TECNO NA KUWAONESHA WAAFRIKA HUSUSANI WATANZANIA MAMBO YA ANDROID/SMARTPHONE BASI HIZO SMARTPHONE ZA SAMSUNG WANGETUMIA AKINA Chief Mkwawa tu na anaofanana nao kwani bidhaa za Samsung gharama zake ziko juu ambazo si watanzania wote wanaweza kumudu. Lakini Tecno ana gharama nafuu ingawa ni low Quality.
Ni ukweli usiopingika kwamba Tecno hawezi KUFANANA na Samsung ila Wataishia KURANDANA tu.

mkuu mbona nimeshafanya comparison humu ndani mara kibao kua tecno ni ghali kuliko mchina mengine na ana bei sawa na simu kama samsung? ni kwamba watu washaamini ni bei rahisi bas wanajinunulia tu
 
Inategemea na your definition of fake, kama u define fake kama low quality zisizo na accessories for replacement basi tecno ni 100% fake, na kama pia una define fake as using someone's else's idea to create ur own thing bac tecno pia ni fake asilimia 90 hizo kumi ni kwa sababu wana operating system yao peke yao, hardware yote wamnacopy wachina wenzao..
My take sasa tecno sio fake, ni manufacturer tu wameona watengeneze simu kwa ajioi ya soko la developing countries, so its original in a sense kua that's their thing, swala ni kua hizo simu ni very llow quality
 
Back
Top Bottom