S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 82
Kama kawaida yetu Watanzania, watu wanatumia haki yao ya kikatiba na katiba ya chama chao; ninyi mnakaa hapa kuwajadili. Kama nyie sio wana CCM, inawasumbua nini hao CCM wakiamua kuwa na Matawi hata mpaka mwezini?
Hii ni Siasa (ni hiari kuwa au kutokuwa mwanasiasa au mwanachama wa chama chochote), kama hamuwezi kusimama pale mlipo mkahesabiwa hamna haki ya kukosoa wengine.
Hii ni Siasa (ni hiari kuwa au kutokuwa mwanasiasa au mwanachama wa chama chochote), kama hamuwezi kusimama pale mlipo mkahesabiwa hamna haki ya kukosoa wengine.