mwana wa africa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 548
- 128
Jamaa wa kipare alitumbukia kisimani , mkewe akawa anatafuta namna ya kumuokoa bila mafanikio. Mashuhuda wakamshauri anunue kamba na kumrushia ili aishike apende juu. Mkewe akatekeleza ushauri . Baada ya kuileta kamba na kumrushia, mume akauliza kamba imenunuliwa shilingi ngapi, naye akajibu,buku mume wake akasema '' irudishe faster , uende kwa massawe anauza jerro tu. Fanya haraka ntazama!