Ubahili nooma!!!!!

mwana wa africa

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
548
128
Jamaa wa kipare alitumbukia kisimani , mkewe akawa anatafuta namna ya kumuokoa bila mafanikio. Mashuhuda wakamshauri anunue kamba na kumrushia ili aishike apende juu. Mkewe akatekeleza ushauri . Baada ya kuileta kamba na kumrushia, mume akauliza kamba imenunuliwa shilingi ngapi, naye akajibu,buku mume wake akasema '' irudishe faster , uende kwa massawe anauza jerro tu. Fanya haraka ntazama!
 
umei-copy and paste wapi mkuu.,? huyo ni mchaga,sio mpare,.and that joke has been here for a fortinght now.!!
 
Mpare wa Hedaru alipiga bonge la biashara, akapata faida Mil. 2, sasa akawa na hamu ya ugoro ile kixhezy. Akafikiria kuwa akitoa 200 ya ugoro, milioni 2 itapungua.
Akasimamisha Buffalo ya kutoka Arusha, gari iliposimama akajitoma na kuuliza kama kuna mtu ana ugoro.... Raier wote kimya! Mpare alipotaka kushuka ghafla akatokea Mmasai siti nyuma akamwambia "She! Ilikuwa na ugoro lakini imeisha, labda nipatie wewe hii iliyobaki mdomoni." Mpare akasema poa, yero akamtolea kwenye ufizi, mpare akasave jiti mbili abiria wakaendelea na safari.(cheka basi)
 
Jamaa wa kipare alitumbukia kisimani , mkewe akawa anatafuta namna ya kumuokoa bila mafanikio. Mashuhuda wakamshauri anunue kamba na kumrushia ili aishike apende juu. Mkewe akatekeleza ushauri . Baada ya kuileta kamba na kumrushia, mume akauliza kamba imenunuliwa shilingi ngapi, naye akajibu,buku mume wake akasema '' irudishe faster , uende kwa massawe anauza jerro tu. Fanya haraka ntazama!

umei-copy and paste wapi mkuu.,? huyo ni mchaga,sio mpare,.and that joke has been here for a fortinght now.!!

kweli umeishiwa.......Sio mchaga na pesa tena.......
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom