Mkuu Ritz,
Hii taarifa sijaielewa kwa sababu,
1. It's tooooooooo general, and again may i say and will keep saying this "to generalize is to be an idiot"..no offence...Mwanza wapi? Mkuu Mwanza ni mkoa..Mh. Waziri mkuu alitembelea sehemu mbalimbali(wilaya), ni sehemu gani unayoiongelea kati ya hizo???!
2. Sorry, ina maana watu wa Ardhi wafanya kazi gani?!.. kazi ya diwani ni ipi?..
3. Uliposema "wanalalamika kwa kuwa wamekwisha vilipia"..wamelipia wapi? Na je kila tapeli aliyeko huko Mwanza ni diwani wa CHADEMA? Kwa kuwa siyo wote wanaojua sehemu SAHIHI ya kulipia!!
Unapokuwa ukinijibu au ukiandika tena TAFADHALI weka mifano hai(HALISI) tufuatilie wenyewe, but till then this? inaonekana kama cheap idea mkuu.

Wanabodi,
Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.
Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.
Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani
Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
Madiwani wa Chadema wakishirikiana na Mwenyekiti wa kamati ya mipango ya Jiji la Mwanza Matata Henry, wanagawana viwanja, kutoka sehemu tofauti tofauti.
Mkuu, hebu pitia na ile orodha ya vigogo waliopewa viwanja Temeke miezi michache iliyopita halafu urudi tena hapa utuambie juu ya ushiriki wa madiwani wa Chadema.
Kwa ujuha wako unadhani kazi ya meya ni kugawa viwanja!nini kazi ya meya na baraza lake la madiwani, au unaandika kwa kuwa vidole ni vya kwako
Walimlalamikia ritz kama nani?chanzo ni wananchi wanaolalamika
Sasa ulitaka wasipate viwanja wakakae bahari? Hapa tunaongelea malalamiko ya wakazi wa mwanza, huko temeke viongozi walivipata kiuhalali sasa tatizo liko wapi?