Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,309
Wanabodi,

Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
 
Wanabodi,

Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

Hii ndiyo aina siasa ya kiujasiliamali iliyopo Tanzania na Afrika kwa Ujumla? si kwa cdm wala upinzani kwa ujumla watu ni wajasiliamali tu.
 
anaehusika na kugawa viwanja ni wilson kabwe mkurugenzi wa jiji,sasa inakuwaje chadema walaumiwe?
 
Wanabodi,

Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.

Source............????
Maana naona umeteremka kama vile umepewa lifti tuu!!
 
Ivi wewe unakichwa au nazi chadema na macamissioner wa ardhi? acha ubwege.
 
Huyu Ritz anafikiria kwa kutumia masaburi. msameheni bure!! Kama hajui hata wanaogawa na kupima viwanja anafikiri ni madiwani! Basi mnabishana na chizi!!
 
Ndugu wanabodi, Mh. sana Waziri mkuu Pinda analalamikia wananchi wa Mwanza kwa kukataa kuitikia falsafa ya "ccmajambazi oyeee" badala yake wakaitikia ile ya PEOPLES....!!

Mh. Ameahidi kuwapeleka wananchi wa jiji la Mwanza Mahakamani ushahidi ukikamilika!!!

Alisema hayo huku akibubujikwa na machozi ili wana-Mwanza na Mahakama wamuonee huruma atakapofungua kesi!!
 
Ritz usipoteshe umma. Suala la ardhi wananchi hawakusema tatizo ni madiwani wa CDM wao walimtaja mzee Kabwe Wilson. Pinda katika majibu yake akasema ya mkurugenzi atalifanyia kazi . Akashauri kwa kuwa madiwani wa CDM ndio wanaongoza jiji na kamati ya ardhi na mipango miji basi wanawajibika kushughulikia kero hizo pamoja na maendeleo kwa ujumla kwani wao ndio viongozi wa jiji.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
Ritz, kama ndivyo, kwanini wananchi wa Mwanza walimzomea Waziri Mkuu? Kwa nini walitulia pale Wenje alipoongea lakini wakazomea kila mara waziri mkuu wa alipotaka kuongea?

Kuhusu ugawaji wa viwanja, wakuregenzi kwenye Halmashauri wanahusika? What is thier role? Kiutawala, tumeona jinsi makatibu wakuu wanavyowavuga mawaziri, hali hii inajuridia kwenye Halmashauri za miji ambapo wakuregenzi wanakuwa na nguvu sana. Na kwa bahati mbaya hawa nao wanateuliwa toka juu - hawawajibiki kwa wananchi. Kazi yao ni kutekeleza mipango ya waliowateua.
 
ritz alipopolewa jiwe kwenye msafara wa pinda likampiga kichwani,kwa hiyo msione ajabu
 
Jipange vizuri, huu ni umbeya wa kike. Usitake kutuaminisha uzuri wa CCM na hali tunaelewa kuwa CCM Mwanza imeshakufa rasmi na ni marehemu huu mwaka wa pili. Naona kama unachumie tumbo!!!!!
 
Madiwani wa Chadema wakishirikiana na Mwenyekiti wa kamati ya mipango ya Jiji la Mwanza Matata Henry, wanagawana viwanja, kutoka sehemu tofauti tofauti.
 
mfano,kiwanja kipi na kiwanja gani?tiririkaaaaaaaaaaaaa gamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom