tatizo la hizi taasisi kama NIDA ni wavivu wa kufikiri...idea yako ni nzuri..wangeweza kutumia info zilizoko kwenye TIN, TZ Passport, Driver License bila kusumbua watu na mifoleni yao!!
hapo kwenye red: kama issue ya hizi ID si kuweka mambo mengine sawa nitakubaliana na wewe? ila naamini hata wewe utakubaliana na mimi kuwa hizo supporting documents ambazo umezitaja upatikanaji wake ulikuwa wa ki-deal deal, na kuna watu wana passport za TZ ambao si watz..ushauri wangu hii kitu/zoezi la ID naliona kama ni la kukurupuka tu linakuwa kama la zoezi la kuwaandikisha wapiga kura, na kama vile ni zoezi ambalo si lakudumu, i thought hawa jamaa wangeungana na msajili wa vizazi na vifo na kila mwananchi angeenda kwa wakati wake ni kuweka details zake sawa bila presha, si kama ilivyo sasa