Uanaume,emotions na ushoga

Hili neno bongo halina maana tena, ukimwambia demu wako "i need space" kitachofuata yeye na marafiki zake wataanza kukuita shoga na sasa hivi imeingia hata kwenye siasa.
 
mtu ni "Homosexual" pale tu akisema yeye ni homosexual..
Acheni ku assume vitu ambavyo sivyo.
 
Nakuunga mkono.Kwa mfano wengine wanakuwa na emotional pale mtu anapowakasirisha au kudhulumiwa. Unaweza kufikiria kuua, sasa kwa maelezo ya mtoa mada sijui nayo ina uhusiano na mtu kuwa shoga.

Too emotional si nzuri kwa sababu inaweza pia kuwa tatizo la kisaikolojia ambalo si lazima limpelekee mtu kuwa shoga.


Mimi naongelea katika masuala ya mapenzi,mahusiano na urafiki.
Sasa hayo mambo ya kudhulumiana ni ajenda nyingine.

Wanaume hawajaumbwa(kama unaamini katika uumbaji) kuwa too emotional. Ukiona mwanaume yuko hivyo,hapo ndipo nakwambia kuna kitu hakipo sawa ndani ya mwili wake. Na hasipojitambua,mabadiliko ya tabia mtu yaweza tokea.
 
mkuu just out of curiousity,kwa nini uliamua kujiita 'NZI'?
.........maana tabia za nzi....mmmmmhhhhh!!just curious!
 
Nafikiri shida ni kutojua maana ya 'emotion'. From Online free Dictionary

e·mo·tion (
ibreve.gif
-m
omacr.gif
prime.gif
sh
schwa.gif
n)
n.1. A mental state that arises spontaneously rather than through conscious effort and is often

accompanied by physiological changes; a feeling: the emotions of joy, sorrow, reverence, hate, and

love.


2. A state of mental agitation or disturbance: spoke unsteadily in a voice that betrayed his emotion. See

Synonyms at feeling.



3.
The part of the consciousness that involves feeling; sensibility: "The very essence of literature is the war

between emotion and intellect"
(Isaac Bashevis Singer).

From this definition every one on earth is emotional. He/she can be overly emotional at any time

depending on the factors acting for the time being. Hamna swala la udume wala uke hapo. Kama

alikuwa anamaanisha kitu kingine (Related to hormonial balance may be) then he can find correct

words

A male isn't supposed to be too emotional when it comes to emotions related to love.

And if a male human being is too emotional in love related affairs,his hormonial balance(as you have noted) has some screws and nuts loosy!
 
mkuu just out of curiousity,kwa nini uliamua kujiita 'NZI'?
.........maana tabia za nzi....mmmmmhhhhh!!just curious!


Nzi muzee ya kupenda vitu vitamu na vichafu.

Mara zote utampata mahala penye uchafu na utamu pia!

Hivyo,nipo kutoa mambo ninayoyaona kwenye uchafu na yale ninayoyaona kwenye utamu.
 
Kuna kitu kati ya emotions na being emotional.... Women are more emotional than men that is common knowledge thus a man anapokua so emotional as opposed to the way yajulikana hua inaleta walakini. Thou sio kweli kua kila mara mwanaume akiwa hivo ni gay.
 
Kuna kitu kati ya emotions na being emotional.... Women are more emotional than men that is common knowledge thus a man anapokua so emotional as opposed to the way yajulikana hua inaleta walakini.

Thou sio kweli kua kila mara mwanaume akiwa hivo ni gay.

Asante kwa kunielewa.

Lakini katika uwalakini huo,ndio hapo mwanaume huyo uweza kuhisiwa na kuhusishwa ushoga.
 
Ukiwa too emotional, judgement yako itakuwa clouded. Cases tunazosoma magazetini za mzazi kumchoma mtoto kisa sh1,000 ni mfano hai. Hii ni mbaya zaidi kwa wanaume maana traditionally sisi ndio wenye maamuzi ya mwisho kwenye masuala mbali mbali mfano ktk familia, kazini n.k. Mwanaume anayeendeshwa na emotions hutoa maamuzi ya pupa ambayo huweza kuharibu kuliko kutatua suala husika. imagine umgombana na mkeo kabla ya kwenda kazini, ukitibuliwa kidogo tu kazini unaweza kufukuza mtu hata kama kafanya kosa tu dogo la kawaida. One day at a bar, I witnessed a waitress getting fired bcoz she directed a customer to the manager's toilet instead of the regular toilets. the boss was in angry mood that day
 
Nzi bado tu umekomalia msimamo wako ule ule au ushabadili?!
Maana ukweli ni kwamba wako wanaume wanaojifanya wanaume haswa..hardcore..macho..wagumu sana mwenye maswala ya mahusiano na mapenzi lakini ndo wenye hisia 'ZILEEEE' kisiri siri.
 
Nzi bado tu umekomalia msimamo wako ule ule au ushabadili?!
Maana ukweli ni kwamba wako wanaume wanaojifanya wanaume haswa..hardcore..macho..wagumu sana mwenye maswala ya mahusiano na mapenzi lakini ndo wenye hisia 'ZILEEEE' kisiri siri.
Ha ha ha! Lizzy bado msimamo wangu ni ule ule aisee...hao unaowasema siyo ma-hardcore wa ukweli, wanajifanyisha...
 
Back
Top Bottom