Uanaume,emotions na ushoga

nilikuja kichwa kichwa na kui"like" post, baada yakusoma wadau wa majambo wamesemaje akiwamo lizzy, gafla nika"unlike"...
lakini hizi ni baadhi ya points zinazonifanya niikubali point kwa upande mwingine...
A MAN:He’s unable or unwilling to cry.
He’s determined to make all situations into a joke.
He’s determined to lighten the mood or change the topic when emotional issues are discussed.
He physically leaves the room when emotional issues are discussed.
He’s insensitive to the emotions of those around him.
Most men–unfortunately–do not undergo such traumatic experiences as the one described above.....

Hahahaha Bagah mrudishie hiyo like bana. bila kukuza mambo (ukipunguza chumvi na magadi aliyoongeza) ana point nzuri sana.
 
Mimi naamini wanao waza mambo ya kishoga ndio mashoga wenyewe.
Kumbuka shoga sio anae ingiliwa peke yake,...hata muingiliaji.

Why should you talk about this nonsense?
Sijui umewaza nini hadi kuandika mambo haya,...sijui ni tabia yako au imetokea tu leo.
 
hivi ile inaitwa tabia za kikekike ni result ya too emetional? Vipi ushoga na tabia za kikekike ni kitu kimoja au tofati? Kama ni tofauti too emotiona inasabisha kipi kati ya hayo mawili...
 
...hivi kuwa "emotional" mnatafsiri vipi wajemeni...
 
Kwahiyo hisia katika kupenda sio sahihi ila zikipitiliza kwenye chuki ni poa?

Mimi naongelea katika kupenda hisivyo sawa. Sasa ukitaka tuongelee katika chuki,anzisha uzi mwingine.
 
Mimi naongelea katika kupenda hisivyo sawa. Sasa ukitaka tuongelee katika chuki,anzisha uzi mwingine.

Zote mbili ni hisia na zote mbili zinahusiana.
Hamna haja ya kutenga uzi kwasababu ulipoongelea "emotions" ulitumia ujumla wala hukutenga.
 
Uliniangusha kwa YN pia. . . ila nimekusamehe turudi kama zamani. . lolz!!

Ila seriously. . punguza chuki kwa wanadamu wenzako. Wana nyama na mifupa kama ulivyo wewe.

I will be i promis u, napendaga ukiniita kale kajina kangu
 
Mh kwaio unataka uniambie hawa watu wana possibility ya kuwa mashoga? au?

Kuna uwezekano kama hisia hizo zikipitiliza. Hivi uwa hujiulizi kwanini mtu kama Fid Q hasihisiwe kua ni shoga? Lakini TID,Dully Sykes et al. wameshahisiwa sana? Natumia mfano wa tasnia ya muziki kwasababu kupitia muziki ni rahisi kuona watu wanavyotoa hisia zake juu ya MMU. Sawa hata kwa kina Neyo,John Legend et al. Kwanini Akon hasihisiwe ni shoga wakati wanaimba genre moja na Neyo?

Hivyo hisia za mwanaume katika MMU zikizidi,ni rahisi kwa mwanaume huyo kuhusishwa na kuhisiwa katika ushoga.
 
Kwa nilivyofahamu maelezo yako juu ya uhusiano kati ya "hisia kali" na MMU/ushoga, pamoja na ufafanuzi wa "too emotional" uliompa NN, ni kuwa hiyo "too emotional" unayoisema wewe ni kwenye MMU tu.

Unataka kutuambia kuwa yule mwanamume aliyekataliwa akaanza kulialia, kutaka kujidhuru, kushindwa kufanya kazi zake...huyu ndiye tumuite shoga?

Je ikitokezea mwanamke kaachwa lakini hakulialia, hakushindwa kufanya kazi zake, hakujaribu kujidhuru (ni kuwa huyu hayuko "too emotional), unataka kutuambia kuwa kwa huyu naye wasiwasi utaanza kujitokeza kuwa ni shoga (homosexual, lesbian)?

Yes mam.

Hivyo inakua kinyume na mother nature.

Na sio nataka kukuambia. Hivyo ndio hali ilivyo.
 
hivi ile inaitwa tabia za kikekike ni result ya too emetional? Vipi ushoga na tabia za kikekike ni kitu kimoja au tofati? Kama ni tofauti too emotiona inasabisha kipi kati ya hayo mawili...

Wanawake ndio wanapaswa kua na hisia kali katika MMU. Mwanaume akiwa nazo ndio hapo anaanza kuonekana na tabia za kikekike. Kama hasipojitambua haraka,mabadiliko ya tabia mtu yaweza tokea,na hali ikiwa hivyo suala la ushoga linaweza kuingia.
 
Zote mbili ni hisia na zote mbili zinahusiana.
Hamna haja ya kutenga uzi kwasababu ulipoongelea "emotions" ulitumia ujumla wala hukutenga.

Hivyo ndivyo unavyowaza wewe. Lakini mimi siwazi hivyo.

Bado naamini katika suala la kwamba si kawaida kwa mwanaume kuwa na hisia kali zilizopitiliza katika MMU. Hiyo ni asili ya wanawake.
 
Nimesoma sana. . .
Umetumia "emotional" 3 times na "too emotional" once. Again onyesha msimamo wako. Kama mwanaume kuwa na hisia kunamfanya shoga then hata wewe unaweza ukawa shoga maana sidhani tangu umekua na akili zako hujawahi kukasiriki ama kuumia kwa lolote. Ila tukienda kwenye kuwa na hisia zilizopitiliza hata mimi nakubali kwamba haipendezi kwa mwanaume japo kwa kiasi flani haina uhusiano na mtu kuwa ama kutokua gay.

Nakuunga mkono.Kwa mfano wengine wanakuwa na emotional pale mtu anapowakasirisha au kudhulumiwa. Unaweza kufikiria kuua, sasa kwa maelezo ya mtoa mada sijui nayo ina uhusiano na mtu kuwa shoga.Too emotional si nzuri kwa sababu inaweza pia kuwa tatizo la kisaikolojia ambalo si lazima limpelekee mtu kuwa shoga.
 
Nimesoma sana. . .
Umetumia "emotional" 3 times na "too emotional" once. Again onyesha msimamo wako. Kama mwanaume kuwa na hisia kunamfanya shoga then hata wewe unaweza ukawa shoga maana sidhani tangu umekua na akili zako hujawahi kukasiriki ama kuumia kwa lolote. Ila tukienda kwenye kuwa na hisia zilizopitiliza hata mimi nakubali kwamba haipendezi kwa mwanaume japo kwa kiasi flani haina uhusiano na mtu kuwa ama kutokua gay.

Nafikiri shida ni kutojua maana ya 'emotion'. From Online free Dictionary

e·mo·tion (
ibreve.gif
-m
omacr.gif
prime.gif
sh
schwa.gif
n)
n.1. A mental state that arises spontaneously rather than through conscious effort and is often

accompanied by physiological changes; a feeling: the emotions of joy, sorrow, reverence, hate, and

love.

2. A state of mental agitation or disturbance: spoke unsteadily in a voice that betrayed his emotion. See

Synonyms at feeling.

3.
The part of the consciousness that involves feeling; sensibility: "The very essence of literature is the war

between emotion and intellect"
(Isaac Bashevis Singer).

From this definition every one on earth is emotional. He/she can be overly emotional at any time

depending on the factors acting for the time being. Hamna swala la udume wala uke hapo. Kama

alikuwa anamaanisha kitu kingine (Related to hormonial balance may be) then he can find correct

words
 
Hivyo ndivyo unavyowaza wewe. Lakini mimi siwazi hivyo.

Bado naamini katika suala la kwamba si kawaida kwa mwanaume kuwa na hisia kali zilizopitiliza katika MMU. Hiyo ni asili ya wanawake.

Ukisema mwanamke anahisia kali zilizopitiliza kwenye mapenzi unamaanisha nini? Maana nadhani

pengine hatuelewani lugha tunayotumia na tunachotaka kumaanisha may be!
 
Back
Top Bottom