'Uamuzi wa kumuondoa Faru John ulikuwa ni muhimu' This science: Hoja Kwisha

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Ingawa mnamwita kilaza kwa Jibu hili la kitaalamu la Prof. Maghembe ile hoja iliyotolewa Kwa mbwembwe nyingi, upambe mwingi kwisha Habari yake. Hongera Prof. Science will remain science.

Kuna watu wanapiga Kelele tumbu tumbu kuna watu wanaonewa. Pembe iliyouzwa Kwa millioni 200 zikatangulia 100 ni ipi hiyo? Inabidi mtuombe radhi Watanzania!

‘Kati ya faru 37 waliokuwepo ndani ya kreta, watoto wake walikuwa 26 sawa na asilimia 70.2. Uamuzi wa kumuondoa John ulikuwa ni muhimu ili kuwezesha kuongezeka kwa faru weusi na kupunguza tatizo la ‘inbreeding’ ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro,”;–Waziri Maghembe.
 
Hawa wanyama walikuwa wanaishi na kujitawala wenyewe hivi hayo mambo ya inbreeding yanaanzia wapi. Nani anayesimamia inbreeding ya simba, nyumbu, tembo, swala na wanyama wengine mbugani. Hawa wanyama mbugani hawajaanza leo kuishi. Huko mbugani wanazaliana wanavyojua wao. Sikubaliani na hoja.
 
Hii ndo Post of the morning umemaliza mkuu
 
Hawa wanyama walikuwa wanaishi na kujitawala wenyewe hivi hayo mambo ya inbreeding yanaanzia wapi. Nani anayesimamia inbreeding ya simba, nyumbu, tembo, swala na wanyama wengine mbugani. Hawa wanyama mbugani hawajaanza leo kuishi. Huko mbugani wanazaliana wanavyojua wao. Sikubaliani na hoja.

Hao wanyama unaosema hakuna ambao wapo kwenye hatari ya kutoweka. Mtoa mada kasema Faru wapo 37 tu, kwa hapo inbreeding haikwepeki. Hiyo ni sababu pia kwa nini wanapewa special care.
 
je ilikuwa halali faru(nyara) kuuzwa kwa mtu binafsi? hayo mamlaka yalitoka wapi?

kwa nini wasingemwamishia ktk hifadhi zngne na majike machache kama alikuwa msumbufu?

majibu kutoka kwa huyo prof..
 
Hahahahahahahaaaaa CCM wanasimamia inbreeding ya Wanyama? Tena Faru tu?? Eegh mgothingwa wee herika
 
Waliokula hiyo fedha ya John Faru . ..shauri yao . ..hawa viumbe si wa mchezo wakati huu . ..waitafune vizuri hiyo pesa!
 
Hawa wanyama walikuwa wanaishi na kujitawala wenyewe hivi hayo mambo ya inbreeding yanaanzia wapi. Nani anayesimamia inbreeding ya simba, nyumbu, tembo, swala na wanyama wengine mbugani. Hawa wanyama mbugani hawajaanza leo kuishi. Huko mbugani wanazaliana wanavyojua wao. Sikubaliani na hoja.
Hao uliowataja population na range yao ya ku migrate ni kubwa kulinganisha na hao faru ambao hawafiki ata 40. Faru muda mwingi wanakuwa creta tu lakini kuna Nyumbu na swala wanaotoka serengeti kwenda masai mara then Ngorongoro badae wanarudi Serengeti tena so wanakuwa na chance kubwa ya ku mate na wanyama kutoka koo tofauti tofauti ambayo huwasaidia kuwa na genetic diversity lakini hao faru wa creta ni koo moja iyo iyo kutokana na ubabe wa John sa tukiwa na jamii moja tu ya faru unaweza kuta wasiwe strong kwenye ku adapt mabadiriko yoyote yale so watakufa tu.
 
Hawa wanyama walikuwa wanaishi na kujitawala wenyewe hivi hayo mambo ya inbreeding yanaanzia wapi. Nani anayesimamia inbreeding ya simba, nyumbu, tembo, swala na wanyama wengine mbugani. Hawa wanyama mbugani hawajaanza leo kuishi. Huko mbugani wanazaliana wanavyojua wao. Sikubaliani na hoja.
Post of the Month
 
kwa kuwasaidia pale ngorongoro kuna rhino project kwanini rhino project??kifaru ni mnyama mwenye thamani kuliko wote pili ni mnyama ambae yuko hatarini kutoweka sababu uzao wao ni wa muda mrefu kutokana na kuwindwa sana!wameathirika sana kisaikolojia.hivyo kitengo kiliwekwa ili kuwaona 24/7.
nakumbuka miaka ya nyuma kuna wazungu wakiwa na guide serengeti walikuta kifaru amekufa na amekatwa pembe walichofanya wale wazungu walipiga picha na kuzirusha BBC au CNN cha ajabu serikali ndio kwanza waligundua kisa hicho baada ya kuona katika televisheni.nakumbuka mkuu wa kitengo cha rhino project alishikiliwa na uchunguzi uliionyesha ana shtaka la kujibu.nnachokumbuka au nilichoskia huyu jamaa alifilisiwa na kuhasiwa
 
Ingawa mnamwita kilaza kwa Jibu hili la kitaalamu la Prof. Maghembe ile hoja iliyotolewa Kwa mbwembwe nyingi, upambe mwingi kwisha Habari yake. Hongera Prof. Science will remain science.

Kuna watu wanapiga Kelele tumbu tumbu kuna watu wanaonewa. Pembe iliyouzwa Kwa millioni 200 zikatangulia 100 ni ipi hiyo? Inabidi mtuombe radhi Watanzania!

‘Kati ya faru 37 waliokuwepo ndani ya kreta, watoto wake walikuwa 26 sawa na asilimia 70.2. Uamuzi wa kumuondoa John ulikuwa ni muhimu ili kuwezesha kuongezeka kwa faru weusi na kupunguza tatizo la ‘inbreeding’ ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro,”;–Waziri Maghembe.
huyu john alikuwa dume au jike? hao watoto 26 aliwapataje? kama alikuwa dume na huko walikomhamishia walimpelekea na wa kugegeda? hata nzagamba ukimtoa zizini ukamtenga peke yake mara nyingi hujiona mpweke na hatimae hufa kwa msongo wa mawazo labda umhasi.
 
Ingawa mnamwita kilaza kwa Jibu hili la kitaalamu la Prof. Maghembe ile hoja iliyotolewa Kwa mbwembwe nyingi, upambe mwingi kwisha Habari yake. Hongera Prof. Science will remain science.

Kuna watu wanapiga Kelele tumbu tumbu kuna watu wanaonewa. Pembe iliyouzwa Kwa millioni 200 zikatangulia 100 ni ipi hiyo? Inabidi mtuombe radhi Watanzania!

‘Kati ya faru 37 waliokuwepo ndani ya kreta, watoto wake walikuwa 26 sawa na asilimia 70.2. Uamuzi wa kumuondoa John ulikuwa ni muhimu ili kuwezesha kuongezeka kwa faru weusi na kupunguza tatizo la ‘inbreeding’ ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro,”;–Waziri Maghembe.
Kwa wanyama wengine Kama Simba chui nyati nyumbu tembo swala nk swala la inbreeding linakuwa controlled vip?
 
Back
Top Bottom