Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,417
- 1,645
Bado aijakaa sawa kwanini wasingemtafutia faru jike kwa gharama yeyote kutoka south Africa au taifa lolote na wakatenga na huyo joke mpya ili kuavoid inbreading faru john kifo chake naisi nicha kisaikolojia na kimazingira zaidi.Hao uliowataja population na range yao ya ku migrate ni kubwa kulinganisha na hao faru ambao hawafiki ata 40. Faru muda mwingi wanakuwa creta tu lakini kuna Nyumbu na swala wanaotoka serengeti kwenda masai mara then Ngorongoro badae wanarudi Serengeti tena so wanakuwa na chance kubwa ya ku mate na wanyama kutoka koo tofauti tofauti ambayo huwasaidia kuwa na genetic diversity lakini hao faru wa creta ni koo moja iyo iyo kutokana na ubabe wa John sa tukiwa na jamii moja tu ya faru unaweza kuta wasiwe strong kwenye ku adapt mabadiriko yoyote yale so watakufa tu.