Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 647
- 304
Umemjibu vizuri sana, Kuna watu kazi yao kuruka ruka tu hawajui wapo kujaza server tu JFNi vema kama kitu hujui uanze kuuliza na siyo judgemental statement
Kwa taarifa yako...IGP LAZIMA KILA SIKU ASUBUHI AHUDHURIE MORNING CALL YA KIKAO CHA BARAZA LA USALAMA LA TAIFA KINACHOONGOZWA NA RAIS..AKIWEMO MKUU WA MAJESHI...MKURUGENZI USALAMA WA TAIFA..NA WENGINE AMBAO SINA HAJA KUKUTAJIA
Kwa maana hiyo by any means usitegemee kama Rais wa nchi akihamia Dodoma wakuu wa majeshi na wakurugenzi wakuu wa ulinzi na usalama wabaki Dar....LAZIMA NA WAO WAWE PALE
Isitoshe....Kanda Maalumu Dar HAIJUMUISHI Headquarter ya Jeshi..Hizo hazihami na Ma RPC wa hizo Kanda wapo na Kamishna wa Kanda Maalumu wa Polisi ataendelea kuwepo
My takeICHA AMBAYO NAIPATA HAPA TANZANIA KWA SASA NI KUWA UKIKOSOA NA KUPINGA KILA KITU KINACHOFANYWA NCHINI NDIPO UNAONEKANA UNA AKILI..LKN UKIUNGA MKONO KITU CHEMA UNAONEKANA HUNA MAANA!!!!!...Mhhh the attitude wa are now engaged in damage our destination. ..I stand to be corrected