Uamuzi wa kuhamishia makao makuu ya polisi Dodoma ni wa kitaalamu au kisiasa?

Mkuu TE="Bujibuji, post: 17008524, member: 13443"]Kichekesho, wizara ya maliasili na utalii imehamia Dodoma badala ya kuhamia Arusha.
Hakika aliyetuloga Saa hizi katutupia jini LA gono akilini mwetu[/QUOTE]
Mkuu tayari wizara hii imetangaza kuhamia Dodoma??
 
Kichekesho, wizara ya maliasili na utalii imehamia Dodoma badala ya kuhamia Arusha.
Hakika aliyetuloga Saa hizi katutupia jini LA gono akilini mwetu
Arusha kuna nini? Unaelewa core functions za management wewe? Utalii na maliasili ni nchi nzima, siyo Arusha tu. Dodoma ndio Makao Makuu ya Serikali, wizara zote zinatakiwa kuwa pale.
 
Jeshi la polisi limetangaza kuhamisha makao yake makuu Dodoma mwezi ujao kwa mujibu wa magazeti ya leo. Binafsi nachukulia uamzi huu kama wa kukurupuka. Kwanza Jeshi hilo si taasisi au idara ya kisiasa hivyo uwepo wao sehemu si kwa kigezo cha siasa bali usalama.

Wangejiuliza mfano kwa nini Dar es Salaam kuna mikoa maalum ya kipolisi na Dodoma hakuna. Dar kuna uhalifu mkubwa kulinganisha na Dodoma. Polisi wapo kwa ajili ya kulinda viongozi tu? Au yale yanayosemwa kwamba liko kisiasa ni kweli? Tujiulize unapotokea uvunjifu wa amani sehemu kwa nini wataalamu wa jeshi la polisi hutoka makao makuu kwenda mikoani?

Mfano mauji ya Amboni, milipuko ya Arusha na Zanzibar, au mauji ya msikitini Mwanza polisi walilazimika kutuma wataalamu toka makao makuu. Hii inaonyesha polisi wanahitajika sehemu tokana na unyeti wa kiusalama na si viongozi wa kisiasa watakapokuwa. Lazima tuhoji uamzi wa kuhamia Dodoma ni wa kisiasa au unatokana na tathmini ya kitaalamu ya mahitaji kiusalama?
http://opposeeverything.com/, una knowledge yoyote ya ulinzi na usalama, zaidi ya siasa taka?
 
wanataka wakae ktkt ya nchi ili sehem yyt ikitokea tatizo iwe rahis kwao kufka mapema
 
Mkuu sokuelewi unaposema makao makuu ya polisi,maana as far as I know makao makuu ya polisi yako wizara ya mambo ya ndani na wako ofisi moja,sasa sioni mantiki wizara inahamia Dodoma na idara yake ie polisi inabaki DSM!!!
Hatujapinga kuhamia dodoma. Tunachopinga ni kuhamia bila maandalizi.ya kutosha. Kuhama mwezi ujao kunalifanya swala.la kuhama lionekane kama la dharula na muhimu sana kwa wakati huu wakati linaweza kufanyika taratibu bila kuathiri mambo mengine kama ambavyo wanataka walifanye
 
Hivi hao wahamaji wanajihamisha? Kuna bajeti iliyotengwa kwa ajili hiyo? Na kama ipo ni kiasi gani? Kuna mpango gani kwa famia zenye watoto wanaisoma shule za day Dar? Kuna miundombinu ya kuwa- accomodate watu wote?
 
Jeshi la polisi limetangaza kuhamisha makao yake makuu Dodoma mwezi ujao kwa mujibu wa magazeti ya leo. Binafsi nachukulia uamzi huu kama wa kukurupuka. Kwanza Jeshi hilo si taasisi au idara ya kisiasa hivyo uwepo wao sehemu si kwa kigezo cha siasa bali usalama.

Wangejiuliza mfano kwa nini Dar es Salaam kuna mikoa maalum ya kipolisi na Dodoma hakuna. Dar kuna uhalifu mkubwa kulinganisha na Dodoma. Polisi wapo kwa ajili ya kulinda viongozi tu? Au yale yanayosemwa kwamba liko kisiasa ni kweli? Tujiulize unapotokea uvunjifu wa amani sehemu kwa nini wataalamu wa jeshi la polisi hutoka makao makuu kwenda mikoani?

Mfano mauji ya Amboni, milipuko ya Arusha na Zanzibar, au mauji ya msikitini Mwanza polisi walilazimika kutuma wataalamu toka makao makuu. Hii inaonyesha polisi wanahitajika sehemu tokana na unyeti wa kiusalama na si viongozi wa kisiasa watakapokuwa. Lazima tuhoji uamzi wa kuhamia Dodoma ni wa kisiasa au unatokana na tathmini ya kitaalamu ya mahitaji kiusalama?

Uwezo wako mdogo sana wa utambuzi na uchambuzi.

Makao makuu ya polisi kuhamia Dodoma ni sawa kabisa.

Chukua muda kidogo kutambua kazi kuu ya makao makuu ya polisi.
 
Katika hali ya kuendelea kujipanga na safari ya kuhamia Dodoma jeshi la polisi nalo ladai liko mbioni kuelekea Dodoma hivi karibuni..

Chanzo: star tv
 
Kichekesho, wizara ya maliasili na utalii imehamia Dodoma badala ya kuhamia Arusha.
Hakika aliyetuloga Saa hizi katutupia jini LA gono akilini mwetu
Kwa mujibu wa maelezo yako makao makuu ya uhamiaji yawe Kigoma au mikoa ya pembezoni? Mantiki ya polisi makao makuu kuhamia Dodoma ni kurahisisha utendaji haiwezekani mji mkuu uwe dodoma then makao makuu ya taasisi flani yawe Dar inakua ngumu kidogo kiutendaji na ni gharama
 
Hatujapinga kuhamia dodoma. Tunachopinga ni kuhamia bila maandalizi.ya kutosha. Kuhama mwezi ujao kunalifanya swala.la kuhama lionekane kama la dharula na muhimu sana kwa wakati huu wakati linaweza kufanyika taratibu bila kuathiri mambo mengine kama ambavyo wanataka walifanye
Hatujapinga kuhamia dodoma. Tunachopinga ni kuhamia bila maandalizi.ya kutosha. Kuhama mwezi ujao kunalifanya swala.la kuhama lionekane kama la dharula na muhimu sana kwa wakati huu wakati linaweza kufanyika taratibu bila kuathiri mambo mengine kama ambavyo wanataka walifanye
Mtanzania bila kumsukuma haendi utaskia tupo kwenye mchakato, tunakamilisha taratibu, tumefanya upembuzi wakati hakuna kinachofanyika. Kimsingi anachofanya mheshimiwa ni sahihi ingawa inaonekana kama amekurupuka...Makao makuu kubaki Dar ni gharama mfano kipindi cha bunge ni ngumu kupata huduma kwa waziri. Just imagine kama unataka kuonana na waziri halafu raisi inabidi uende Dom ukimaliza kuongea na waziri usafiri tena umfate rais Dar.Lakini kama ofisi zote zikiwa Dom inapunguza gharama na urahisi wa kukutana na viongozi wa nchi bila kusafiri kwenda mkoa mwingine.
 
Back
Top Bottom