Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,529
- 113,664
- Thread starter
- #141
Wanabodi,
Kitendo cha Kamati Kuu ya Chadema kuwavua uanachama madiwani wake wa Arusha, is "A Big Mistake"!, and there is a price to pay, so Chadema must pay very dearly and the price which is very high!.
Hapa Mkuu denooJ nakuomba sana be honest kwasababu hapa ndipo karma inapolalia, Chadema walifuata sheria na taratibu zao kuwaadhibu, naomba unielimishe walifuata vipi?unatetea huu uvunjifu wa sheria, halafu ajabu unawalaumu Chadema kila siku hawatendi haki, wakati walifuata sheria na taratibu zao kuwaadhibu wale wanawake, hueleweki bro.
Ikikupendeza anzisha uzi wa jinsi Chadema inavyofuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni katika kuwaadhibu watovu mbalimbali wa nidhamu ndani ya chama.
Vinginevyo ukipata muda, pitia nyuzi hizi, humu ujibu Chadema ilifanyagaje
Anza na
Hapa Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
Kisha hapa Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
Kisha Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
Na sasa Mmezoea vya kunyonga hamviwezi vya kuchinja. Hongera sana Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
P