TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

Mkuu ile ya kina Daegil inaitwa SLAVE HUNTER,ilinikuna mbaya.Hiyo tu.
Sijaiona hiyo mkuu itabidi niitafute ila kama unapenda habari za mapanga shaaa tazama spartacus hasa blood and sand iko poa sana
 
kwa wewe unaependa movie za ki detective kuna kitu kinaitwa CSI..(Miami au new york) ...full maupelelezi kwa kuumiza kichwa mpaka utabloo mweyewe...
Mkuu CSI MIAMI huwa naikutaga kimtindo dstv ila tatizo nakosa continuity sababu ya mishemishe ratiba zinagongana!
 
asante, nilikumiss pia.

Afu hii avatar yako iko poa sana(thinking???)
Yeah thats what people shud do before saying or doing anything..........Thank you sana aka wabheja nno!
 
kama hujawahi tazama The sopranos..
basi hujawahi tazama kitu
Haya The Boss ntaitafuta huwa naiona tu dukani but haijawahi kunivutia kuinunua but from your advice i will take it
 
24
lost
ila hii lost sijapenda ilivyoisha isha sijawaelewa kabisa.
 
24
lost
ila hii lost sijapenda ilivyoisha isha sijawaelewa kabisa.
Lost bwana kam jina lake lilivyo kuna wakati inakulost kabisa hata hujui what is what nafikiri pale ndipo mtunzi alipokosea maana badala ya kuifanya iwe entertaining akataka iwaumize watu vichwa
 
Lost bwana kam jina lake lilivyo kuna wakati inakulost kabisa hata hujui what is what nafikiri pale ndipo mtunzi alipokosea maana badala ya kuifanya iwe entertaining akataka iwaumize watu vichwa

hahahahaha...vipi Strike Back..ushaziona yenyewe....?
 
Hii ni kuna watu walichukuliwa katika miaka tofauti kuanzia 1936 mpaka wanarudishwa wakiwa 4400 tena wakiwa na umri uleule ambao walikuwa nao wakati wanaondoka duniani. Sasa nao hawajui walikuwa wapi na kwao hata hawahisi kama kuna siku imepotea, kizuri ni kwamba wanakuja na ability tofauti tofauti hapo ndipo utamu ulipo maana wengine ni evils wengine wanaprotect matendo maovu

...kuna jamaa yangu mmoja ananiletea kesho..nitaichek.. Musimo Jr
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha...vipi Strike Back..ushaziona yenyewe....?
Hapana sijaichek will have to check it............

Yeah icheck halafu kuna kitoto kinakuja kuzaliwa kinaitwa Isabel hatari kweli hicho
 
Hapana sijaichek will have to check it............

Yeah icheck halafu kuna kitoto kinakuja kuzaliwa kinaitwa Isabel hatari kweli hicho

..nitaichek ..akinipa...
..strike back..ni ya UK..ilikuwa inaonyeshwa sky tv..iko pouwa sana....ina story nzuri balaa...hasa misheni ya British Gov...kumuua Robert Mugabe..inavyofeli...tafuta hiyo mkuu
 
Dah stori yake inaonekana iko bomba najua kutakuwa na kina MI6 humo na kina scotland yard wa kumwaga
 
Dah stori yake inaonekana iko bomba najua kutakuwa na kina MI6 humo na kina scotland yard wa kumwaga

...Yeah kaka....hadi ISI...wanahusika humo...
...kuna Jamaa anaitwa srgt..Damien Scot...balaa..huyu yuko seson 2..na seson 1 yuko jamaa anaitwa John Porter...kaka tafuta hiyo..kwa uapnde wangu iko pouwa sana..kuna mission kibao..humo...
 
Dah ntaitafuta kaka kwa udi na uvumba..............dah kama unataka kujua hivi vitengo vya kiintelijensia vya kiingereza soma novels za fredrick forsith anavzielezea vizuri sana
 
kuna moja ilikuwa inarushwa star tv ilikuwa inaitwa Dangerous love ilinibamba sana sema tu iliwahi kuisha,ila kwa sasa nafuatilia The vampire diaries na gossip girl
 
kuna moja ilikuwa inarushwa star tv ilikuwa inaitwa Dangerous love ilinibamba sana sema tu iliwahi kuisha,ila kwa sasa nafuatilia The vampire diaries na gossip girl
Grapes' najua zile tamthilia za wafilipino ziliwabamba sana wadada nafikiri hapo ndipo zilipopoteza mashabiki wa kiume unajua kawaida wanaume huwa hawapendi kuwa associated na vitu vinavyofanywa na wanawake sana
 
Dah ntaitafuta kaka kwa udi na uvumba..............dah kama unataka kujua hivi vitengo vya kiintelijensia vya kiingereza soma novels za fredrick forsith anavzielezea vizuri sana

...itafute hiyo kamanda..uone jinsi Gov..na Agency zake..zinavyofanya mission....utapenda...
..jamaa wamecheza..Zimbambwe,Sudan...Afghastan...Burgaria...India...yaani..ni bonge la series Musimo Jr...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom