TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

The Godfather (Niliiwatch kitamboo,imesimama mbaya)
The Tudors (Nimeimaliza, loved the monarchy history)
Two & a half men (With Charlie Sheen, amazing comedy)
Modern Family (Sofia vergara's accent, funny!)
Big Bang Theory (Oooh! Sheldon, full vituko)
Eastenders (I like Tanya na anavyovaa)
 
Hahahahaaa Mbona hujasema ulikuwa unapenda Sauti ya Godfather.........
 
La revanja ya kina Ray, Alehando na Guilamo Arcinega.

2nd Chance,

Kuna ile ya Kina Preta na mwanae Rai,

Jumong ya kina Jumong, Taesso, Mo Palm, Hyoppo, Susuno nk

Egoli na Isidingo ziliniboa kutokana na kwamba ndefu sana
 
Dah mi egoli haikuwahi kunivutia tena niliiangalia kidogo sana wakati ule ameenda kuigiza scene chache Sauda Kilumanga. Isidingo nilikuwa naipenda ile ya zamani ya kina Derick Nyati (sasa ana act kwenye Jacobs Cross) Philipa, Clin dah ilikuwa kali ila walipobadilisha watu kibao ikaboa
 
Nikita Season 2 Episode 21 is out
Operation Eliminating Percy and bringing down Division continues
  • Percy gets polonium
  • The Nikita team's safe house is discovered and they have to find another one after they blew it
  • Sean was shot when they were trying to stop polonium from percy's men
  • Nikita team get another member (A man from the CIA) who has the same ambition to bring down Percy

Dont miss it
 
Na kwa wale wapenzi wa mtaalam Jack Bauer, yuko kwenye series mpya inaitwa Touch nafikiri ndio kwanza iko episode ya 8 so mnaweza kuanza kufaidi
 
Dah kaka Spartacus pia ilijipatia umaarufu sana sijui kwasababu ya fightings au pamoja na zile scenes za uzinzi ambazo dah nyingi kweli. Nayo nimeona kama imetoka namba tatu yake baada ya Blood & Sand (1), Gods of the Arena (2) na mwisho nimeona kama imetoka mpya inaitwa Vengeance (3)
 
@M'Jr, pliz tel me u r in dar and dat u have
1. lie to me
2. r we there yet
2. nikita s2e21 na kuendelea...
 
@M'Jr, pliz tel me u r in dar and dat u have
1. lie to me
2. r we there yet
2. nikita s2e21 na kuendelea...

Yes mkuu Ninayo Lie to me season 1 & 2 complete
Are we there yet Season 1 & 2 complete
Nikita Season 1 complete and Season 2 ep 1 - 22 now

But unfortunately i am not in Dar
 
secreto de amor, (check spelling) ndio tamthilia pekee niliyowahi kuifatilia, i remember barbara (maria clara's nightmare), maria clara (beautiful humble woman) losandro, na yule dada yake maria clara chakaramo ambaye walikuja kugundua kuwa hawakuwa ndugu.
 
Hivi yule Maria Clara si ndio yule mara Camilla mara anakuwa nani sijui?
 
Nikita Episode 22 season 2

Baada ya percy kupata polonium anamtuma cleaner wake kwenda kuchukua vutu vitakavyomuwezesha ku control satelite ili aweze kutoa demand zake kwa president na anafanya hivyo baada ya kufanya demo kwa kulipua one of the plant. Namna pekee ya kuzuia hiyo ni kwa kuharibu hiyo mitambo manually na inatakiwa mtu aingie ndani ya division kufanya kazi hiyo na hapo ndipo panapokuwa patamu maana Nikki anaamua kwenda front Michael naye anaamua kuingia, ila Nikki anafanikiwa kulipua kale kamtambo.

Ila mambo yameharibika na percy kaamuru division ifungwe kwa maana ya hakuna mtu kuingia wa kutoka na Nikki yuko ndani Michael naye kaamua kuingia yuko kwenye bomba lile la kutorokea. Huku president kaamuru kikosi kushushwa kwenda kuharibu division. Dont miss it asee....

Funny thing. Wakati Shadow walker anamuaga Nikki akamkisi kwenye lips halafu akamwaga Michael kwa kumwambia "You can kick my ass when you get back"
 
kuna website gani au wapi naweza kupata kuangalia online au kudownload hii tamthilia ya La Revancha
 
Back
Top Bottom