TV Repair

Majanki

Member
Apr 9, 2014
34
12
Kwa wale wanaohitaji kufahamu kwanini? TV hitachi mjapani huwa inawaka hata kama umeme mdogo chini ya Volt,120 inawaka bila tatzo na kuna wakati inazima mara tu umeme unapo pungua zaidi,Wakati tv za kichina zinagoma kuwaka na kama ikiwaka kunauwezekano wa kuungua.
 
Pia kuna tatizo hili la kuwaka taa ya standby bila kuwaka tube, tatizo eneo gani kwa uzoefu wako-bila kubadili sucket.
 
Tatizo la kuwaka stand bye linatokana na mambo tofauti,angalia transistor horizantal kama iko safi,pima kama volt89 kama zinafika hizo volt ni kwa Hitachi original,pima transistor regulater iko safi na pima kias kinachoingia na kinachotoka kwani kuna regulater ya 9V na 6V pia kuna regulater inaingiza hzo volt na kutoa volt3 kwaajili ya ic ya Zilog (control) inakaa karibu na batani hapo chini na usisahau kupima zener diode zote zinazozunguka output na transistor ndogo ndogo hzo pia luss connection ni jambo la muhimu kulifuatilia.
 
TV zinatumia SWITCHING POWERSUPPLY, ambazo huwa zina AUTOMATIC INPUT VOLTAGE regulation, Kazi yote ya INPUT VOLTAGE REGULATION hufanyika katika HOT primary Area. MOSFET (transistor) hutumika kama switch katika eneo la primary (HOT area) ambapo uwezo wa transistor hiyo (switching voltage range) ndio inayowezesha TV kuhimili voltage kuanzia VoltA hadi Volt B. (MOSFET zina input voltage Range Eg 400V-800V DC).

Kuna TV zingine ambazo badala ya kutumia MOSFET (Transistor) huwa zinatumia IC kabisa, kama vile JVC TV, Panasonic TV na badhi ya TV zingine hutumia IC kubwa ya powe ambayo ina miguu kama minne,mitano etc. Kwa uchunguzi wangu TV zinazotumia IC huwa na uwezo mkubwa zaidi wa kuwaka hata kama voltage zikiwa chini ya 120A.

Pia kumbuka kwamba TV inapokea Voltage 220v/240v AC ambazo hizo zikipita kwenye Rectifier na filter zinaongezeka hadi 6ooV DC na hiyo ndiyo inayoingia kwenye POwer MOSFET au POWER IC.

Ndio maana POWER IC au TRANSISTOR zina kuwa na input range kama vile 600V dc, 800V dc, 1200V dc, 1500V dc... hiyo ni baada ya 220 V AC kupita kwenye Rectifier na kuwa 600V DC.

Kwa wale wanaohitaji kufahamu kwanini? TV hitachi mjapani huwa inawaka hata kama umeme mdogo chini ya Volt,120 inawaka bila tatzo na kuna wakati inazima mara tu umeme unapo pungua zaidi,Wakati tv za kichina zinagoma kuwaka na kama ikiwaka kunauwezekano wa kuungua.
 
Hitachi original made japan tokyo TV inatumia umeme mdogo ambao unawasha kioo yani B+89DC unaoenda kwenye flyback transformer(FBT) kwaajili ya matumiz yake,hapo zinatoka volt za heater,vertical pamoja na waya wa Anode unaoenda direct kwenye tube.Ikiwa kuna umeme wa kutosha wa AC primary supply(power supply) inabidi kwenye filter Capacitor ya 450V,DC itunze 270V,DC chini ya hapo au juu ya hapo inategemeana na umeme wa AC unaoingia.Ila usipungue chini ya 230V,DC hadi 190V,DC kutakuwa na uwezekano wa kioo kucheza cheza, sema tv za hitachi zimewekewa vihami vyakufanya ijizime mara pawa inapozidiwa uwezo na inazima ili kuepusha kuungua. TV za kichina zinatumia B+102V,DC yani secondary supply na inategemeana na ukubwa wa kioo uenda zikahitaji zaidi ya hzo volt,Capacitor yake ya primary supply(power supply) ina ukubwa wa 400V,DC.volt zinazo tumika umeme ukiwa wakutosha inatunza 270V,DC na umeme ukiwa mdogo nazo zinapungua sasa kinachofanya tv za kichina zife ni hali ya kutumia umeme mwingi kwenye output sec,supply alafu power aina umeme wa kutosha kwahyo kitendo hcho kinafanya power transistor/ic itumie nguvu zaid na inapata moto kupitiliza na kwakuwa tv za kichina hazina vihami(relay) kunasababisha power hzo kufa.
 
Kufahamu jinsi ya kujaza kioo chc TV yenye tatizo la upanuaji wa wima(vertical)
 
Oke kama inachoma pima kwenye Capacitor ya 250V DC,kwaajili ya heater kama kuna volt, zinazoingia na zisizidi volt,190DC, na zisipungue zaid ya 120V DC,pia angalia line nzima ya waya wa heater unaoenda kwenye CRT na ikishindikana badilisha Flyback(FBT) au CRT board iliupate majibu zaid kama tatizo lipo kwenye CRT au circuit board yenyewe kisha niambie,0757803385.
 
umetisha mkuu dude nimeshaliwasha
 
ningeshauri wakuu, uzi uko poa ila iwekwe sucket na maeneo au vifaa {mtalam yeyote asaidie hili} ili tutambue vizuri.
 
Pia kuna tatizo hili la kuwaka taa ya standby bila kuwaka tube, tatizo eneo gani kwa uzoefu wako-bila kubadili sucket.
Tatizo la TV yako ni power supply,FBT (fly back transformer )aipati signal toka kwenye switch transitor,angalia for shorted transistor or open one
 
Kwa wale wanaohitaji kufahamu kwanini? TV hitachi mjapani huwa inawaka hata kama umeme mdogo chini ya Volt,120 inawaka bila tatzo na kuna wakati inazima mara tu umeme unapo pungua zaidi,Wakati tv za kichina zinagoma kuwaka na kama ikiwaka kunauwezekano wa kuungua.

dah! inachoma but bulb inawaka moja kwa moja
 
Back
Top Bottom