Hiyo Al jazeera 3 mpk 12 naipataje???nipeni fundi aje aniwekee
startimes pumbavu sana nyie,chanel zote hakuna inayorusha olimpc
hapa unaongelea Aljezeera ipi??coz kuna Aljazzera Arabic, English na Sport...kama ni English wewe ni muongo coz saa tatu usiku huwa ni news hourAl-jazeera kuanzia channel 3 mpaka 12
Tafuta watu wa satellite cables watakuunganishia! Kwa mfano huku Mwanza kuna watu wa Barmedas wanaunga hizo cables na unalipia kwa mwezi!