Tuzo ya Mwana JF anayepambana na Ufisadi kwa Dhati

Mwanakijiji uangalie kwa makini maana kuna Mafisadi kama Kikwete wasije kuchakachua kura yako. Uilinde mpaka kieleweke MWANAKIJIJI:laugh:
 
Mwanakijiji, you are being selfish here. Your uncomfortability should not override the wish of many who have decided to nominate you not necessarily for the award or recognition but as a symbol of appreciation of the good work that you have been doing.

Instead of being uncomfortable I would advice that you remain humble and keep doing the good work. You have dared and crossed the line which most dont cross so accept the appreciation.

The unsung heroes are not ignored. Through you they get what they deserve. They will definately see how good their work has been through you and others!

Let the votes flow in. Some other people may be nominated or mentioned. As for that allow it to go on!

I am nominating Gurudumu for only one reason i.e. his thoughfulness to start this thread and bring the idea forward which has helped contributors to nominate MwanaKijiji for his fantastic work in here. Mwanakijij deserves the nomination as rightly made by members.
 
MMMH... haya mtakapoanza mambo ya RIP.. na rambi rambi! ... "ooh jamaa alikuwa..."!
Credit when Credits Due...., Truly Mkuu you Deserve it..., Please naomba usife moyo uendelee kutujuza..... no time to sleep..., We will Sleep when we are Dead......, Unanimous Decision..., You have done a lot, truly patriotic
 
MMMH... haya mtakapoanza mambo ya RIP.. na rambi rambi! ... "ooh jamaa alikuwa..."!


Hahahahaa, Tena mazishi yako yatafana sana. Imagine mafisadi watakaposikia umekufa. Watatoa michango ya Hali na mali na hotuba zenye hisia na uchungu sana. "Tumempoteza kijana, mchapa kazi, mwenye roho ya kizalendo, aliyechukia na kupambana na ufisadi kwa nguvu na uwezo wake wote, mtu wa watu, asiyependa makuu, aliyehusiana na watu wa kila rika,..."

hehehe, mola aepushe mbali
 
MoDs pleaseee.. this is making me extremely uncomfortable.


Usijali hawa wanakupaka mafuta ni wageni au wako 'obsesd'. Hii kazi sio ya mtu mmoja, kuna Invisible, Halisi, Dr Who, Enigma, Kanzi na nzi wote, pia mzee mwenyewe FMES walikuwa wanailisha JF kwa dataz. Wakiondoka wao wengine wanakuja.

By the way kwa nini unakuwa unconfortable?
 
Lakini jamani nimeamini watu wabaguzi na vithanks vyao! Hata moja?
 
Binafsi sistahili kuhesabiwa miongoni mwao kwani ninachofanya chaweza kabisa kufanywa na mtu yeyote akiamua tu kuvuka mstari wa woga na kutokujiamini. Nashukuru wale ambao wamenitaja lakini naomba tuwashukuru na kuwatuza hawa mashujaa wetu wasiotuzwa bado.

Unatania. Sidhani hapa suala ni nani apewe kwa kuwa hajapewa bado. Tunachozungumza ni anayestahili. Kama ni nani hajapewa bado basi tumpe Rutashubanyuma kwa "Habari za michezo magazetini leo" na "Sheria." Au tumpe Superman na PakaJimmy "Maripota wazuri wa matukio" au Afrodenzi, Miss Judy etc "Wachangiaji bora wa 'Jukwaa Pendwa' "

Acha wivu bwana, mpe Mzee Mwanakijiji haki yake. Kura yangu kwa Mzee Mwanakijiji.
 
Yamekuwa hayo tena! Mdomo unaumba....mauti na uzima yako mdomoni mwa mtu. Hata hivyo je kuishi kwako si ni Kristo na kufa ni faida?
Nilitahadharisha kwa mwelekeo huo huo wa Mzee Mwanakijiji kwamba zoezi la KUMTAWAZA MPAMBANAJI MASHUHURU dhidi ya Ufisadi na Mafisadi kwa hapa JF bora tukausitishe kwanza.

Ni ukweli ulio dhahiri kwamba BADO TUPO KATIKATI ya vita hivi hivyo tukiaanza kupeana taji tungali bado tupo maeneo ya KAGERA na fisadi wetu kama alivyokua Nduli Iddi Amin mwenyewe bado yuko hai Kampala.

Hata kama tumewadhoofishwa kiasi gani, busara zinatuelekeza kwamba hawa MAADUI WA USTAWI WA TAIFA LETU mpaka pale tutakapowatia mikononi ndio watu tutaweza kutapisha juu hewani Shampen zetu lakini si kwa wakati huu. Endapo tutaendelea kulazimisha sana hili na basi tutambue kwamba MAFISADI NAO TUNAKESHA NAO HUMUHUMU - hakuna haja ya kuwatafutia wenzetu a POSSIBLE REST IN PEACE kwa bei rejareja kiasi hiki.

Unamuelekeza adui wako nguvu zako ziliko halafu baada ya hapo unategemea nini??? Haya mapambano tunayoyapigania leo hii, nionavyo mimi, wala si MCHEZO WA DENSI watu tukaanza mzaha mbele ya MAFISADI ambao kama tulivyo na uchungu na taifa, wao uchungu wao ni kung'olewa na ndio maana wanakesha nao kama sisi tuuuu, amkeni jaama!!!
 
Back
Top Bottom