Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,764
Kama ilivyotarajiwa, "ushindi wetu" wa Tuzo ya Milenia (MDG) umeshageuka mtaji kwa Serikali ya Chaguo la Mungu Jakaya Kikwete.Nimeonelea kuandika makala ya habari-picha kutoa pongezi kwake nikiambatanisha picha zinavyoonyesha tulivyostahili Tuzo hiyo.Naamini picha hizo zitamsaidia kila mpiga kura mzalendo kufanya maamuzi sahihi hapo tarehe 31 Oktoba.
Kutokana na wingi wa picha hizo,ukipata wasaa angalia nyinginezo kwenye kiungo (link) hiki KULIKONI UGHAIBUNI: Tuzo ya Milenia: Hongera Chaguo La Mungu KIKWETE,Ushahidi Huu Hapa (PICHA)
Kutokana na wingi wa picha hizo,ukipata wasaa angalia nyinginezo kwenye kiungo (link) hiki KULIKONI UGHAIBUNI: Tuzo ya Milenia: Hongera Chaguo La Mungu KIKWETE,Ushahidi Huu Hapa (PICHA)