Tuzo ya Forbes Africa ni ya kweli watu wenye nia mbaya wanataka kupotosha

Hivi hizi ndio propaganda za kisiasa etieeh?!
Hawa wazee wanaosimamia sijui ni sendela kinanwa au nepi, wanatakiwa waanze upya coaching ya vijana wao kwakweli, maana si kwa matusi haya!!
 
Sina Muda wa kumjibu bwanamdogo Rashid Chirumba kwakuwa hana hadhi yakujibiwa na mimi, nitamtuma sekretari wangu amjibu kwakuwa wanahadhi sawa...


Nawajibu wengine kwa faida ya taifa langu na rais wangu Mh John P. Magufuli.

Kwamba shindano la Forbes Africa lipo, hizo ni porojo tu na ulaghai kwa umma wa watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Nimechunguza kwa umakini sana kabla yakuja kuyasema haya hapa, angalia website inayoendesha shindano, ina http tu, haina S mbele, website salama lazima iwe ni https, S inasimama badala ya Secure.. Hii imetungwa kwaajili ya kughiribu umma usiendelee kujadili uhalifu wa Umeya Kinondoni
 
Mkuu wangu Jana nilisema hii ni kama vile unaipambanisha simba na Man U halafu eti unashangilia kwa nguzu zote kuwa kipindi cha kwanza Man U inaongoza kwa 6:0.

Nadhani wenye akili walinielewa


So what is the movie behind the scene series?
After all kama ni mimi ningekataa kushirikishwa.. .. Acheni kufanya mzaha na issue ya urais nyie.. It is the top job in the world, ...yeye Maguful calibre yake sio hao wasiofahamika, eti people of Rwanda...
BTW, hiyo tuzo ina faida gani hasa kipindi hiki? Et Forbes Africa... Tusiendeshwe hivyo jamani... Dah..si bora haya mambo tuwaachie tu TWAWEZA?
 
Hao Forbes kwa kweli wamemdhalilisha sana rais Wetu kipenzi Dr JPJM.


Acha ujinga wewe Malcolm X feki. Rais wa Mauritius Ameenah Gurib ni muuza karanga? Aliko Dangote aliyewahi kushinda hiyo tuzo ni muuza karanga? Wewe kaa hapo hapo ufipa na roho yako ya korosho. Ulie tu.
 
Pole sana mkuu...tatizo la hii awamu kitu kinachoangaliwa zaidi ni maendeleo ya vtu kuliko watu.

Utashangaa tunanunua ndege tena kwa cash ila hospital Zetu hazina hata chanjo. Watanzania wenzetu wamepatwa maafa ya tetemeko huko kagera tunawaambia serikali haijaleta tetemeko wajisaidie wenyewe.

Mkuu wangu hoi awamu inakera acha Kabisa..



Naongea kwa uwalisia, nimempoteza uncle wangu kisa uduma mbovu hosipital za wilaya na kukosekana kwa dawa...sasa tupo Msavu kuelekea turian tunasafirisha. Mm sipigi siasa hapa mkuu.
 
Ila mkuu mbona kama wamemuaibisha mukulu Wetu kwa kumuweka na mmiliki wa bank SA na hyu mama mwanasheria Sijui wa SA.

Huyo mama mwingine raisi wa Mauritius angalau kidogo ila kwa kwa jinsi inavosemekana jina la Mukulu Wetu lilivyo kubwa duniani kwa sasa bado naona kama ni tusi.

Ila mm bado naendelea kusikilizia Mwisho wa hii movie..


Ha ha ha acha kulia lia.
 
Sasa ndio umekanusha kitu gani, nani kasema tuzo za Forbes siyo za kweli? uongo unaosemwa ni shindano hilo kwa sasa halipo.
Liwepo lisiwepo linamsaidia nini Mtanzania wa Liwale anayekunywa maji kwenye bwawa moja na Ng'ombe?
 
Back
Top Bottom