Tuwe wakweli fursa ya kupata Katiba Mpya tuliipoteza 2014, itachukua miaka 50 kuwapata Dkt. Mvungi na Polepole original wengine

Una kichwa kibovu, Polepole wa Magufuli au wa Nyerere. Hicho kipolepole ilikuwa njaa tu haikuwa inatoka rohoni.... Na wewe uwe unakuwa na akili kidogo. Au huko uliko wamekuloga.
 
Una kichwa kibovu, Polepole wa Magufuli au wa Nyerere. Hicho kipolepole ilikuwa njaa tu haikuwa inatoka rohoni.... Na wewe uwe unakuwa na akili kidogo. Au huko uliko wamekuloga
Huku Uchagani hakunaga Kurogwa bwashee Sisi ni majambazi 😂
 
Pole pole yupi?. Huyu msaka fursa. Pole Pole na Prof Kabudi walibadilisha msimamo baada ya kuteuliwa. Alipotoswa akaanza kudai Katiba Tena, alipopewa ubalozi kimya.
 
Back
Top Bottom