Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Wakuu hili wazo sio jipya. Nakumbuka limewahi kuzungumzwa kwa njia njingi. Moja ikiwa nia ya kuteua wabunge kupitia madaraka ya rais. Na nyingne ni ile ya kupitia proportional representation, kama ilivyo kwa wabunge wanaotoka kwenye jumuiya mbalimbali. Lakini bado ni uchwara tu. Itakuwa ni loop hole kwa mafisadi kudhibiti nchi, na kupunguza nguvu ya CCM. Cha muhimu tuatakiwa tuwe na institutions zenye nguvu za kuweza kufuatilia utekelezaji wa matakwa ya wananchi na maamuzi ya serikali.