Tuwe na wabunge wa jimbo la kitaifa

Wakuu hili wazo sio jipya. Nakumbuka limewahi kuzungumzwa kwa njia njingi. Moja ikiwa nia ya kuteua wabunge kupitia madaraka ya rais. Na nyingne ni ile ya kupitia proportional representation, kama ilivyo kwa wabunge wanaotoka kwenye jumuiya mbalimbali. Lakini bado ni uchwara tu. Itakuwa ni loop hole kwa mafisadi kudhibiti nchi, na kupunguza nguvu ya CCM. Cha muhimu tuatakiwa tuwe na institutions zenye nguvu za kuweza kufuatilia utekelezaji wa matakwa ya wananchi na maamuzi ya serikali.
 
Mwalimu zaidi,
Nimekusikia hivi huone kama tutapata watu muhimu ndo hao wanaweza hata kuongoza bunge na nchi vizuri. Naamini huu mfumo, utatupa watu wazuri na ktk jambo jema angalia faida. Haihitaji taalumu ya uhasibu kujua kuwa gharama si mbaya, kibaya ni hasara. Gharama inaweza kumezwa na mapato(maslai). Kwa maneno mengine hakuna kizuri kisicho hitaji gharama, la muhimun ni kuangalia faida na wazo/mradi. LUGHA ya darasani na kwa wenzetu tunaita return on investment.
 
Mrekebishaji,

Nashangaa umesema maendeleo yataletwa na wananchi halafu unakazania zaidi a top down approach, kama vile maendeleo yataletwa na wabunge.

Mapendekezo yangu hapo juu ni kuwaelimisha wananchi zaidi kuhusu umuhimu wa masuala ya kitaifa, na wabunge kuwa na balance nzuri kati ya maswala ya kitaifa na ya kijimbo.Since all politics is local, hata hayo ya kitaifa (ufisadi, katiba, demokrasia etc) yana umuhimu taifa zima, pamoja na haya majimbo.

Objectives zako zinaweza kufikiwa bila kubadilisha mfumo wa ubunge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom