Tuwatambue Vinara wa Jukwaa la MMU

Ambao kila ukichungulia utawakuta mle, kati yao wachache ni hawa hapa:
Mtambuzi ,

The Finest,
The Boss,
Kongosho,
Mwita25,

AshaDii,
Bujibuji,
Husniyo,
Cantalisia,
Memo,

Babamu‎,
PakaJimmy
MR. DRY
mnyakyusa
Marytina‎,
Ricardo Damiano
HorsePower‎,
Okada
Smile‎,
Pure nomaa
tindikalikali‎,
Mbimbinho‎,
la Jeneral
Eiyer‎,
Popobawa
Bishanga‎,
Ulukolokwitanga‎,
Swager‎,
Judgement‎,
Senetor
Ahhhhhhhhhhaaaaaaaaa! Ouwiiiiiii!
Umenitisha Mkuu, nawajua baadhi ambao umewataja wana ndoa zao, lakini kinachonishangaza utawakuta wanatafuta wenzi wa maisha!
 
Ahhhhhhhhhhaaaaaaaaa! Ouwiiiiiii!
Umenitisha Mkuu, nawajua baadhi ambao umewataja wana ndoa zao, lakini kinachonishangaza utawakuta wanatafuta wenzi wa maisha!

kwa hiyo tukubaliane na wewe mtoa mada kwenye hili hapa chini
"Pia wapo wanandoa wanaotafuta wenza wapya wakati tayari wamo kwenye ndoa"!
itakuwa ile yakula nyama kila siku inachosha acha nijaribu hata mchicha chukuchuku.
 
Nionavyo mimi, ukiondoa Jukwaa la Siasa, Jukwaa maarufu zaidi ni hili la MMU. Jukwaa hili lina visa, hoja, vioja na viroja.
Vipo visa vya kweli na vingine vya kutunga.
Wapo wanaotafuta marafiki, wengine wanatafuta wachumba, wengine wake/waume. Wapo waliopata wenza wa maisha, wapo waliochumbia madume au majike wenzao bila kujua.
Pia wapo wanandoa wanaotafuta wenza wapya wakati tayari wamo kwenye ndoa!
Leo napenda kuwatambua vinara wa Jukwaa hili; naanza na....
Marytina...
Tuendeleze orodha.
Dah!!! Hii kali kweli aisee....
 
Ambao kila ukichungulia utawakuta mle, kati yao wachache ni hawa hapa:
Mtambuzi ,

The Finest,
The Boss,
Kongosho,
Mwita25,

AshaDii,
Bujibuji,
Husniyo,
Cantalisia,
Memo,

Babamu‎,
PakaJimmy
MR. DRY
mnyakyusa
Marytina‎,
Ricardo Damiano
HorsePower‎,
Okada
Smile‎,
Pure nomaa
tindikalikali‎,
Mbimbinho‎,
la Jeneral
Eiyer‎,
Popobawa
Bishanga‎,
Ulukolokwitanga‎,
Swager‎,
Judgement‎,
Senetor

List iko kamili hapa
 
Ahhhhhhhhhhaaaaaaaaa! Ouwiiiiiii!
Umenitisha Mkuu, nawajua baadhi ambao umewataja wana ndoa zao, lakini kinachonishangaza utawakuta wanatafuta wenzi wa maisha!

Uliwakuta wewe ukitafuta nini kama siyo uongo/umbeya?
Nataka kuanzisha list ya
wambeya wa JF.... MTANIUNGA MKONO?

 
Marytina, Baba Mngoni mama Mchaga @Arusha

Huyu dada nampenda sana, ni bingwa wa MMU, she is open and bold, haogopi kushambuliwa wala kujibu hoja ingawa kuna vichaa humu ndani huwa na tabia ya kumshambulia hasa anabobandika bandiko la "kuwasaidia wanaume". Ingawa mambadniko mengine huwa kama stori za kutunga lakini badso zina umuhimu kwa jamiii.

Marytina, kwenye Jukwaa hili; you are my superstar.

Duh! Nime click kitufe cha like kwenye hii post baada ya kuona Jina la Marytina likiwa la kwanza, duh napenda sana story zake .. ingawa nazionaga kama ni za kutunga vile l.o.l
 
................... Ibrah na mimi bana yani weye hunijui mimi leo loh!
 
Ambao kila ukichungulia utawakuta mle, kati yao wachache ni hawa hapa:
Mtambuzi ,

The Finest,
The Boss,
Kongosho,
Mwita25,

AshaDii,
Bujibuji,
Husniyo,
Cantalisia,
Memo,

Babamu‎,
PakaJimmy
MR. DRY
mnyakyusa
Marytina‎,
Ricardo Damiano
HorsePower‎,
Okada
Smile‎,
Pure nomaa
tindikalikali‎,
Mbimbinho‎,
la Jeneral
Eiyer‎,
Popobawa
Bishanga‎,
Ulukolokwitanga‎,
Swager‎,
Judgement‎,
Senetor


Perfect but you just forgot the one and the only my LIZZY.Where are you Lizzy?
 
Back
Top Bottom