Tuwatambue Vinara wa Jukwaa la MMU

Nyie ruke rukeni weeee lkn mtu mzima WASHA WASHA ndio mtama kwa watoto. Hakuna siku aliniacha hoi kama siku aliyo-isuuza chupi ya mpangaji mwenzie ambaye ni demu na kuleta kizaa zaa na mkewe.

Nasikitika kuwa ame-Log off komplitily. Madamu mumemtaja WashaWasha yupo njiani ata log on Karibuni kuanzia sasa

Where you brazza washa boy?!
Anakuja WashaWasha yupo njiani

ame log off kiukweli kweli..
WashaWasha ame Log Off Kisungura sungura atarudi si punde tu utamuona

Hata mie nimem-miss na chungwa lake
Makeke mengi
Hahahahah washaWasha ana Makeke mengi hi thread Hii imemkosa leo mie Nalog Off
 
enzi hizo wakati MMU ikiwa imepamba moto na kabla ya kuvamiwa na watoto. wafuatao walikuwa wanatoa hoja nzito:
  1. Woman of Substance
  2. Mwanajamiione
  3. Aspirin
  4. Teamo
  5. Acid
  6. Lizzy
  7. Firstlady1
  8. JS
  9. Rev. Masanilo
  10. The Boss
  11. Nyani Ngabu (a.k.a. Miafrika ndivyo tulivyo)
 
Nionavyo mimi, ukiondoa Jukwaa la Siasa, Jukwaa maarufu zaidi ni hili la MMU. Jukwaa hili lina visa, hoja, vioja na viroja.
Vipo visa vya kweli na vingine vya kutunga.
Wapo wanaotafuta marafiki, wengine wanatafuta wachumba, wengine wake/waume. Wapo waliopata wenza wa maisha, wapo waliochumbia madume au majike wenzao bila kujua.
Pia wapo wanandoa wanaotafuta wenza wapya wakati tayari wamo kwenye ndoa!
Leo napenda kuwatambua vinara wa Jukwaa hili; naanza na....
Marytina...
Tuendeleze orodha.

Wewe mwenyewe
 
enzi hizo wakati MMU ikiwa imepamba moto na kabla ya kuvamiwa na watoto. wafuatao walikuwa wanatoa hoja nzito:
  1. Woman of Substance
  2. Mwanajamiione
  3. Aspirin
  4. Teamo
  5. Acid
  6. Lizzy
  7. Firstlady1
  8. JS
  9. Rev. Masanilo
  10. The Boss
  11. Nyani Ngabu (a.k.a. Miafrika ndivyo tulivyo)
Bishanga vipi?
 
sasa sijajua unawataka vinara wapi?...

1)ALL TIME MMU STARS
2)2011 MMU STARSZ OF THE YEAR
 
Kitu ambacho members wengi twasahau ni kua mtu mgeni kuwika ni kazi rahisi for bado ana mzuka na hujituma kweli kweli kuchangia na kujichanganya... I thinki ingekuwepo a salient system kua mtu ambae ni under miezi 6 awezi kua accredited ni super star na hali bado ni mbichi.... Katika michango.. threads mbali mbali za kale ambzo hua napitia kuna watu nakubali saana michango yao but sina bahati ya kukutana nao mara kwa mara... Mfano mzuri ni Woman of Substance.... She is quiet something... Na I appreciate her....

Alomtaja Kaizer kama Star naomba nijue kama ni me ama ke? lol
 
Asha Di hujambo?
I have missed you!
 
Huyo amepotea tu siku hizi, she used to be VERY active (naskia, lol)!
Ukitaka kumsoma nenda profile yake uone old post na started threads zake, masha'allah!
Hata mimi nafurahia sana michango yake...
 
Back
Top Bottom