Tuwatambue Vinara wa Jukwaa la MMU

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Nionavyo mimi, ukiondoa Jukwaa la Siasa, Jukwaa maarufu zaidi ni hili la MMU. Jukwaa hili lina visa, hoja, vioja na viroja.
Vipo visa vya kweli na vingine vya kutunga.
Wapo wanaotafuta marafiki, wengine wanatafuta wachumba, wengine wake/waume. Wapo waliopata wenza wa maisha, wapo waliochumbia madume au majike wenzao bila kujua.
Pia wapo wanandoa wanaotafuta wenza wapya wakati tayari wamo kwenye ndoa!
Leo napenda kuwatambua vinara wa Jukwaa hili; naanza na....
Marytina...
Tuendeleze orodha.
 
Natambua uwepo wenu wote, mmefanya maisha ya mwajiriwa huyu kuwa marahisi.

Bosi anafoka anakuta wewe unacheka kama mwehu kumbe ni MMU wala hujasikia alosema

salute to you all
 
Marytina, Baba Mngoni mama Mchaga @Arusha

Huyu dada nampenda sana, ni bingwa wa MMU, she is open and bold, haogopi kushambuliwa wala kujibu hoja ingawa kuna vichaa humu ndani huwa na tabia ya kumshambulia hasa anabobandika bandiko la "kuwasaidia wanaume". Ingawa mambadniko mengine huwa kama stori za kutunga lakini badso zina umuhimu kwa jamiii.

Marytina, kwenye Jukwaa hili; you are my superstar.
 
Smile, who is he kwenye MMU? Kuna Ibrahim na Ibraham wengi humu JF. However, you are among the star in MMU, una mabandiko si haba, mimi huwa napitia mara chache chache kuwatia moyo na kujaribu kuwaonya ingawa Invisible hajanifanya kuwa Mod wa Jukwaa hili.
 
Natambua uwepo wenu wote, mmefanya maisha ya mwajiriwa huyu kuwa marahisi.

Bosi anafoka anakuta wewe unacheka kama mwehu kumbe ni MMU wala hujasikia alosema

salute to you all

Kongosho, are you she or he? Kama wewe ni he, basi ni Kinara kwa upande wa Wanaume hapa MMU!
 
Nionavyo mimi, ukiondoa Jukwaa la Siasa, Jukwaa maarufu zaidi ni hili la MMU. Jukwaa hili lina visa, hoja, vioja na viroja.
Vipo visa vya kweli na vingine vya kutunga.
Wapo wanaotafuta marafiki, wengine wanatafuta wachumba, wengine wake/waume. Wapo waliopata wenza wa maisha, wapo waliochumbia madume au majike wenzao bila kujua.
Pia wapo wanandoa wanaotafuta wenza wapya wakati tayari wamo kwenye ndoa!
Leo napenda kuwatambua vinara wa Jukwaa hili; naanza na....
Marytina...
Tuendeleze orodha.

hapo kwenye red nimejikuta nacheka mwenyewe heheheh
 
Kongosho, are you she or he? Kama wewe ni he, basi ni Kinara kwa upande wa Wanaume hapa MMU!

Ibra! Umekuaje ? uweje wewe Dereva wewe tena uwe trafic utajipigaje mkono?
Wewe umemuuliza Kongosho he or she, na ukajijibu mwenyewe! Ni he! Sasa yeye atajibu nini ?
 
Back
Top Bottom