Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo:
1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service stations in cities and rural areas).
# 2. Vituo vya kujaza gesi iliyoshindiliwa (CNG) mijini (CNG filling stations in the cities).
# 3. Vituo vya kubadilisha injini za magari yanayotumia Petrol au dizeli yatumie gesi iliyoshindiliwa (CNG) (Stations for Conversion of gasoline and diesel engines to run on compressed natural gas (CNG).
Haya mambo yote yanawezekana tukiunganisha nguvu ya kuwatafuta wawekezaji ndani na nje ya nchi. Sisi wenyewe tunaweza kuwekeza.
Wapo watu wenye mitaji ila pengine hawana taarifa juu ya haya na hawana elimu ya kutosha.
Mimi najua mtu mwenye kituo cha kujaza mafuta hawezi shindwa kuanzisha kituo cha kujaza gesi iliyoshindiliwa kwenye magari (CNG).
Watanzania tuungane katika hili tusiisubiri serikali pekee na sisi tushiriki.
Mimi nilikua natamani niwe hata na mobile fuel stations wala hazina gharama kuwa kuna hadi za milioni 30-50.
Pia tuishauri serikali kuhusu CNG stations. Waruhusu watu kuwekeza kwenye mobile CNG stations.