Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

Kuanzia leo onward nakuwa makini kuchangia hoja za Mzee Mwanakijiji...nimegundua ni shushushu. Ukicheza nae utanyea debe. I salute you sir!!

HERI UMETUSHTUA, NAMI NAMDAUT SANA JINSI ANAVYOWASILISHA MAMBO MOTO KABISA TOKA JIKONi, KM NI SHUSHUSHU MBONA TMEKWISHA?
 
Tusipoangalia vizuri tutashuhudia jambo ambalo halijawahi kutokea nchini tangu maasi ya jeshi 1964 na pengine pia tangu vita ya Kagera; kutangazwa kwa hali ya hatari (state of emergency) ili hatimaye kurudisha hali ya usalama nchini. Kutangazwa kwa hali ya hatari na rais kunatoa nafasi kwa vyombo mbalimbali kufanya kazi katika ulinzi wa sheria za juu zaidi na ambapo sheria nyingine zinaweza kuwa suspended na hata haki ya habeas corpus kusitishwa.

I hope hatutafika huko maana tukifika itakuwa ni doa kubwa zaidi la utawala wa Kikwete... maana tayari madoa yapo..

kwa sababu ya kuogopa "doa kwa kikwete" hatuta fikia huko.
Hali ya hatari haita tangazwa,na mwisho wa siku tuta chapana kimya
kimya huku yeye akiendelea kuuza sura huko aliko.

Akiulizwa atasema ni wahuni wachache tu.
 
Ni kweli usemayo Mzee Mwanakijiji. Ila kwa kuongeza tu ni kuwa tunaweza kushuhudia jeshi (JWTZ) likipindua nchi baada ya jeshi la polisi kushindwa kudhibiti uhalifu na kubaki kuwa ccm wing. Ni mtazamo wangu tu.

Boss, jeshi hili lililo chini ya akina Mwamunyange lipindue nchi? Hata kwa uchawi haitatokea, majeshi yalikuwepo zamani, si leo ambapo yanaongozwa na watu soft mayai.
 
Last edited by a moderator:
Kwa sababu ya wahuni wachache???!!!. BTW hata vijana wa cozi pale CCP moshi wanatosha kuwa-silence hawa vibaka wa Manzese...

Hata kule Tunisia serikali ilisema ni wahuni wachache. Kule Misri serikali nayo ilisema ni wahuni wachache. Kule Libya pia Gaddari alisema ni "rats" wamejificha kwenye mashimo. Lakini serikali zao zipo wapi sasa?

Tuache tabia ya kusema ni wahuni wachache. Kunapokuwa na tatizo deal with it badala ya kulidharau na kusema eti ni linasababishwa na wahuni wachache.

Tuache mtindo wa kudharau matatizo on the basis that yanaletwa na wahuni wachache. Labda ndiyo maana viongozi wote wa ngazi za juu wapo nje ya nchi. Wanasubiri kwanza wahuni wawe wengi ndiyo warudi.
 
Kinachoendelea siyo jambo dogo; ni hitimisho ambalo linaweza kabisa kubadilisa mwelekeo wa siasa za Tanzania. Malalamiko ya Waislamu ya muda mrefu hayajawahi kuangaliwa kwa ukaribu na kujibiwa. Yamekuwa yakipuuzwa. Ukiondoa kwenye mtandao kama huu ambapo watu wanajibiwa huko uraian ni wachache sana wanaweza kupata nafasi ya kujibiwa. Matokeo yake ni kuwa yale yanaosemwa huko chini yanaaminiwa na matukio fulani fulani yanaonekana kuthibitisha hoja hizi.

Tusubiri hasa mwitikio wa makundi ya Waislamu kesho.
 
Ukweli husemwa:

mzee Mwanakijiji, hatuwezi kufika huko unakotabilia.

Unaonyesha huwa huwasikilizi viongozi wetu wa siasa ama unawasikiliza lakini kauli zao zinapita kwenye sikio lako la kulia na kupitiliza kwenye sikio la kushoto.

Nikukumbushe kauli yao kuu ambayo wao wanafikilia ndiyo mbadala. Wanasema huu ni 'upepo tu na utapita'.

Au wewe unauona ni upepo wa aina nyingine?

In serious note. Hapana, serikali haiwezi kutangaza hali ya hatari. Hakuna kiongozi au kikundi ambacho kimejidhatiti na organised kuweza kuitetemesha serikali kufikia kiwango hicho

Watu wanatolea mfano nchi za Tunisia, Misri na Libya wanasahau kuwa motive ilikuwa ni siasa ambayo makundi yaliungana bila kujali dini yao. Kwa Tanzania, motive ni dini, wakati makundi hayajaungana bali yamefarakana tena kwa kiwango kikubwa. Huku wakristo wakiwa ni wavumilivu kulingana na imani katika mafundisho ya dini zao.

Halafu kumbuka tabia za mwaarabu siyo kama za mbantu wa Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu hapa umenena ila naomba nikukumbushe kitu, vita na waislamu haitakaa iishe hata kama jeshi lina 100% wakiristo. Waislamu wako brainwashed kiasi cha kuamini kwamba ukiua mkiristo mmoja hata kwa kujilipua na wewe ukafa unaenda mbinguni.
Hivyo watafanya kila hila hata kwa mabomu ya kuvaa.
Take note, they are so poor in terms of skills, knowledge and materials such that they dont have anything to loose if they die. They are ready for anything.
The best thing hii vita isianze, wakrito si tu kwamba wana vingi vya kupoteza bali pia ni wakakamavu na watu waliozoea shida na zaidi ya yote wanafedha ya kuwawezesha kuendesha mapambano yao kwa urahisi. maana hawa wasio na pesa watakula nini? Humo mitaani mwetu hawaishi kutuomba hela ya kula kila kuchapo. Wakiamua kuingia vitani, kama kwa hakika italazimika kufanyika hivyo, basi for sure, tutaandika historia ya kwamba waislamu waliwahi kuwepo bara.
 
Unamwaga petroli ambapo tayari pana moto?

Na familia zenye waumini wa dini hizi mbili umewaingiza katika mchango wako au mchango wako unahusu "black and white" tu?

Nafikiri itakuwa jambo jema kurudia mazoea ya Nyerere kuitana ndugu, ndugu badala ya wakristo,waislamu,waheshimiwa, wajinga,vilaza,wasomi,magaidi nk.
 
MMj hakuna cha kutangaza hali ya hatari.

Maeneo yenye kurupushani ni maeneo madogo, ikiwa tu hali iliyopo itatumika kisiasa ni suala jengine. Au vyombo vya ulinzi havina nyenzo tena za kupata habari za kiintelijensia?

Kwa nini unasaidia kujenga hofu? Hapa kila kitu kinaongezwa chumvi.

Baada ya kupita kadhia hii, swali la kujiuliza ni nani atanufaika na hali iliyotokea? Na huyo ndiye wa kumshuku kuwa nyuma ya matukio haya.
 
Tatizo la RAIS WETU anadhani amani ya TANZANIA inalindwa na MUNGU! kumbe inalindwa na watu wenye utashi wa kibinadamu na matarajio ya kibinadamu.haiingii akilini pamoja na vurugu zote hizi yeye yupo ana pumzika kwa raha zake uarabuni.Najiuliza hivi anao washari wenye uwezo kweli??na yeye mwenyewe haoni umuhimu wa kuongea na wananchi ili apunguze TENSION? kama tumelaaniwa vile! nashuri viongozi wa dini zote wajitahidi kuziba hili pengo la udhaifu wa viongozi wa kisiasa kwa kuongea na waumini wao kupitia radio na television hata kwa kulipia mahubiri hayo ya amani. upande wa pili hakuna matumani tena.wamebaki wanasaka noti.
 
Hata kule Tunisia serikali ilisema ni wahuni wachache. Kule Misri serikali nayo ilisema ni wahuni wachache. Kule Libya pia Gaddari alisema ni "rats" wamejificha kwenye mashimo. Lakini serikali zao zipo wapi sasa?

Tuache tabia ya kusema ni wahuni wachache. Kunapokuwa na tatizo deal with it badala ya kulidharau na kusema eti ni linasababishwa na wahuni wachache.

Tuache mtindo wa kudharau matatizo on the basis that yanaletwa na wahuni wachache. Labda ndiyo maana viongozi wote wa ngazi za juu wapo nje ya nchi. Wanasubiri kwanza wahuni wawe wengi ndiyo warudi.

Mi bado naamini ni wahuni wachache... Hatuwezi kuwafananisha na wale wa Libya kwa sababu kule Libya walikuwa wamechoka na utawala wa Gadaff na walitaka aondoke. Hawa wanaoleta vurugu leo Tz ndo hao hao wanaomshabikia Kikwete kwa nguvu zote. It is a kind of a weak autoimmune reaction, that can easily be eliminated by a simple glucocorticoid...
 
Mambo yanabadilika kwa haraka sana. Busara ingetumika ili viongozi wote wakuu walio nje ya nchi warudi nyumbani haraka. Najua State visit inaandaliwa kwa muda mrefu lakini rais anatakiwa akatishe hiyo visit arudi, haraka na ahutubie taifa.
tusipoangalia anaweza asiongee chochote.
 
Mimi huwa najiuliza na sipati jibu, hivi kwa nini mara zote ambapo hutokea dhahma kubwa zinazolenga wananchi na maslahi ya nchi...mara zote mkuu wa nchi huwa nje ya nchi.
Je,
Ni coincidence tu?
Kuna watu serikalini ambao hutumia mwanya huo kumchafua Kikwete?
 
Haya yote nimatokea ya propaganda za chama tawala katika kipindi cha uchaguzi uliopita,Binafsi nilistushwa na jambo hili kipindi kile raisi alipolifanya kama ajenda ya kisiasa ya kumludisha madarakani na mbaya zaidi katika kipindi cha ufunguzi wa bunge jambo hili la udini alirudia tena.Badoo naamini kabsa kua mwanzilishi mku wa udini ni kampeni chafu za raisi na chama chake kipindi cha uchaguzi uliopita.haya tunayoyaona sasa hvi was that process of kuchochea taifa hili watu wagawanyike kidini,..Nakibaya sikuwai kuona watu wazuri wenye pamezi mema na nchi hii wa kikalipia siasa zile chafu zilizokua zinaenezwa za udini ( unafiki tu wa watawalawetu na wanaojiita wataalamu wetu)...jambo la mwisho ningeomba MZEE MWANAKIJIJI sikumoja ukaanzisha mjadala ya yaliyotokea kwenye maasi ya jeshi 1964...wengine mdauo atukuepo na atujawai kuifaham vzru nini kilitokea that time mpaka kukawa na maasi hayo 1964...
 
Tusipoangalia vizuri tutashuhudia jambo ambalo halijawahi kutokea nchini tangu maasi ya jeshi 1964 na pengine pia tangu vita ya Kagera; kutangazwa kwa hali ya hatari (state of emergency) ili hatimaye kurudisha hali ya usalama nchini. Kutangazwa kwa hali ya hatari na rais kunatoa nafasi kwa vyombo mbalimbali kufanya kazi katika ulinzi wa sheria za juu zaidi na ambapo sheria nyingine zinaweza kuwa suspended na hata haki ya habeas corpus kusitishwa.

I hope hatutafika huko maana tukifika itakuwa ni doa kubwa zaidi la utawala wa Kikwete... maana tayari madoa yapo..

Wakati wa utawala wa Mwalimu Ali Hassan Mwinyi paliibuka mihadhara ya waislamu wenye siasa kali kukashifu ukristo na wakristo wengi hasa wakatoliki waliyumbishwa sana. Serikali haikuonyesha kushtushwa na mihadhara hiyo. Kina Kilaini walipofadhili kundi la Biblia ni Jibu ambalo lilikuwa na watu waliobobea kwenye uislamu ambao baadaye walibadilika na kuwa wakristo watu kama kina Simbaulanga, moto mpya uliwashwa, jamaa waliichambua koran na Biblia mpaka kuutikisa uislamu kwa kiasi kikubwa. HAPO SERIKALI IKAONA KUNA HATARI, IKAPIGA MARUFUKU MIHADHARA.

Leo hii muislamu yuko madarakani na ndio mkuu wa System na System yenye amiri jeshi mkuu huwa haina tabia ya kufanya mambo yanayoweza kumuudhi mkuu wa System( Amiri jeshi mkuu). Hivyo JK kwa usoni atajifanya kukerwa na baadhi ya waislamu wahuni kuchoma moto makanisa, lakini moyoni anasema 'big up'. Ingekuwa sivyo tungeona kwa matendo.

Hali ya hatari itatangazwa leo hii pale misikiti kumi ya Dar es Salaam na Mwanza itakapolipuliwa kwa mabomu na kikundi cha wakristo wahuni ambacho kimepewa jina la 'National Crusade'. Hizi dini mbili zina wahuni wengi japo wahuni wa kikristo wanaonekana wastaarabu zaidi.

Mambo ya ndani pamoja na TISS msiseme hamkutaarifiwa. Na hapa kama kuna wa kumlaumu ni jamaa yenu J. Halfani Kikwete.

Kama misikiti kumi haitachomwa leo wakati wa ibada basi mniite mwongo. Siyo msikiti mmoja au miwili- KUMI.
 
Mimi huwa najiuliza na sipati jibu, hivi kwa nini mara zote ambapo hutokea dhahma kubwa zinazolenga wananchi na maslahi ya nchi...mara zote mkuu wa nchi huwa nje ya nchi.
Je,
Ni coincidence tu?
Kuna watu serikalini ambao hutumia mwanya huo kumchafua Kikwete?
kaka kwa mfumo ambao kikwete anatumia madarakani na kwa mwenendo na dunia ya leo iilvyo halafu tungekuwa na mkuu wa majeshi kama sayore,au musuguri na angalau sarakikya naamini hii nchi ingeshapinduliwa siku nyingi sana
 
Mambo yanabadilika kwa haraka sana. Busara ingetumika ili viongozi wote wakuu walio nje ya nchi warudi nyumbani haraka. Najua State visit inaandaliwa kwa muda mrefu lakini rais anatakiwa akatishe hiyo visit arudi, haraka na ahutubie taifa.

suala hapa si kuhutubia Taifa ni kuchukua hatua mara moja
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom