Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,147
MMMMMMMMMMMMMMMMMMMM nashindwa kujibu bibiehamuponi ng'ooo,,,,,,, hasa wanaumee,,, na we uliotuma hii nahisi ni mwanamume,,,,,,,,,
MMMMMMMMMMMMMMMMMMMM nashindwa kujibu bibie
ntakuchapa wewe????????
:rant:
heee????????? nini tena sweart heart???
huyo naye haponi, asipopona na wewe huponi... Pole mimi, pole wewe!
weee huyu ana ulinzi wa sultan qabus nyuma atapona inshallah...
Sultani naye si mwanaume?
Haponi!
kuoa sio solution maana infidelity inachukua nafasisijaona cha kuwazuieni kupona hapo, mbona paja la kawaida tu hilo? tena kuana wengine hawataki kama hayo, sasa hofu inatoka wapi? ukishindwa kujizuia oa ili upone
kuoa sio solution maana infidelity inachukua nafasi
Miss Judy,wanawake nanyi pia mnahusishwa na infidelitytamaa tu zinawasumbua wanaume, hata wasipopona ni haki yao, sie Mungu atatuponywa kwa huruma yake
tamaa tu zinawasumbua wanaume, hata wasipopona ni haki yao, sie Mungu atatuponywa kwa huruma yake
Miss Judy,wanawake nanyi pia mnahusishwa na infidelity
Hivi wanaume huwa wanajamiiana na nani hasa mpaka useme tamaa zinawasumbua wanaume?Mkiacha kutupatia hiyo kitu unadhani utaweza kutuambia tuna tamaa?