chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 508
- 704
MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile;
- Matatizo ya mifupa
- kukosa damu
-kisukali
- Figo
-Ini
-Kansa ya damu
- kansa ya utumbo mpana
- kansa ya kongosho
- kansa ya matiti
MATUMIZI
Tengeneza chai kutokana na Mizizi yake na kunywa mara 2 kwa siku.
Tumia Unga wa Mizizi kupaka kwenye ngozi yenye shida.
Kunywa kinywaji cha juice ya majani au Mizizi ya MCHUNGA.