Ndio,karibu sana ndugu.Bado mnatoa huduma?
naomba unitumie maelekezo ya kufany na vitu gani nije navyo kwako nataka unifungulie micro finance nichek kwny enockboaz@gmail.comOkoa muda, okoa pesa na ukuze biashara yako kwa kuhudumiwa na busiminetBusiminet tutakusaidia;
BUSIMINET COMPANY LIMITED
S.L.P 12659
Simu: +2557 65 90 10 93 / +255782191905
Email.busiminet@gmail.com
Makumbusho,Kinondoni-Dar es salaam
1.Kusajili jina la biashara na kampuni.(BRELA).
2.Kusajili Micro Finance ( WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA).
3.Kusajili NGOs,SACCOS,Chuo(colleges),Shule,Taasisi za Kidini.
4.Kuandaa mchanganuo wa biashara (business plan) kwa biashara yoyote.
5.Kuandaa na kutunza mahesabu ya biashara.
6.Ushauri kuhusu biashara.
7. Kuandaa nyaraka zinazotakiwa ili kupata TIN na Leseni ya kampuni .
8. Kuandaa katiba ya Taasisi (Constitution), Katiba ya Kampuni (Memorandum, Article of Association).
9.Tunaandaa Financial Statements
10.Kuandaa mchanganuo wa biashara (business plan),
Sera ya mikopo(Lending Policy) na HR mannual kwa Microfinance.
11.Kusajili gazeti ( Wizara ya habari na michezo)
naomba unitumie maelekezo ya kufany na vitu gani nije navyo kwako nataka unifungulie micro finance nichek kwny enockboaz@gmail.com
Nimeshakutumia tayari.Ahsante,karibu sana ndugu.Email yangu hii nitumie mchanganuo edsonmsakala@gmail.com
naomba unitumie email yako ili nikutumie mchanganuo wa kazi na gharama za kusajili kampuni.Ahsante,karibu sana.NATAKA KUSAJILI KAMPUNI JINA TAYARI BADO KAMPUNI LKN BRELA KUMEKUWA NA USUMBUFU SIYO WA KAWAIDA,NAOMBA UNIPE STEP ZAKE THEN UNIPE GHARAMA MKUU,KM IKIWEZEKANA DO IT HURRY..
Nishakutumia email,ahsante.Karibu sana ndugu.Habari mkuu nataka ku share biashara na mtu toka nje ya nchi yeye kama muwekezaji zipi sheria na mapato mgawanyo na umiliki hasa hati za ardhi ni vipi tafadhali nifahamishe mail yangu kmbs01@hotmail.com
Mkuu Email yangu ni:- babanasreen8@gmail.comnaomba unitumie email yako ili nikutumie mchanganuo wa kazi na gharama za kusajili kampuni.Ahsante,karibu sana.
Nimeshakutumia ndugu,karibu sana.Mkuu Email yangu ni:- babanasreen8@gmail.com
Mkuu ninataka nisajili kikundi cha watu 37, tumeelekezwa RITA, MOHA, BRELLA ila nimeona kuna beaurocracy ya hali ya Juu, unaweza kufanya kwa niaba yao na bado kikundi kikatambulika kisheria? requirements zipoje mkuu