Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

Okoa muda, okoa pesa na ukuze biashara yako kwa kuhudumiwa na busiminet

BUSIMINET COMPANY LIMITED
S.L.P 12659
Simu: +2557 65 90 10 93 / +255782191905
Email.busiminet@gmail.com
Makumbusho,Kinondoni-Dar es salaam

Busiminet tutakusaidia;

1.Kusajili jina la biashara na kampuni.(BRELA).

2.Kusajili Micro Finance ( WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA).

3.Kusajili NGOs,SACCOS,Chuo(colleges),Shule,Taasisi za Kidini.

4.Kuandaa
mchanganuo wa biashara (business plan) kwa biashara yoyote.

5.K
uandaa na kutunza mahesabu ya biashara.

6.Ushauri kuhusu biashara.

7. K
uandaa nyaraka zinazotakiwa ili kupata TIN na Leseni ya kampuni .

8. Kuandaa katiba ya Taasisi (Constitution), Katiba ya Kampuni (Memorandum, Article of Association).

9.Tunaandaa Financial Statements

10.Kuandaa mchanganuo wa biashara (business plan),
Sera ya mikopo(Lending Policy) na HR mannual kwa Microfinance.

11.Kusajili gazeti ( Wizara ya habari na michezo)
naomba unitumie maelekezo ya kufany na vitu gani nije navyo kwako nataka unifungulie micro finance nichek kwny enockboaz@gmail.com
 
Nataka kufungua company ambayo itadil na chakula supply na transport yaan kama group of company
 
Habari mkuu nataka ku share biashara na mtu toka nje ya nchi yeye kama muwekezaji zipi sheria na mapato mgawanyo na umiliki hasa hati za ardhi ni vipi tafadhali nifahamishe mail yangu kmbs01@hotmail.com
 
NATAKA KUSAJILI KAMPUNI JINA TAYARI BADO KAMPUNI LKN BRELA KUMEKUWA NA USUMBUFU SIYO WA KAWAIDA,NAOMBA UNIPE STEP ZAKE THEN UNIPE GHARAMA MKUU,KM IKIWEZEKANA DO IT HURRY..
 
NATAKA KUSAJILI KAMPUNI JINA TAYARI BADO KAMPUNI LKN BRELA KUMEKUWA NA USUMBUFU SIYO WA KAWAIDA,NAOMBA UNIPE STEP ZAKE THEN UNIPE GHARAMA MKUU,KM IKIWEZEKANA DO IT HURRY..
naomba unitumie email yako ili nikutumie mchanganuo wa kazi na gharama za kusajili kampuni.Ahsante,karibu sana.
 
Mkuu ninataka nisajili kikundi cha watu 37, tumeelekezwa RITA, MOHA, BRELLA ila nimeona kuna beaurocracy ya hali ya Juu, unaweza kufanya kwa niaba yao na bado kikundi kikatambulika kisheria? requirements zipoje mkuu
 
Nipigie simu nikuelekeze vyema ndugu.
 
Back
Top Bottom