Tusiokuwa na mazoea ya kuhesabu pesa benki tunapopewa na mateller wa hizi benki tuwe makini, wamenipiga leo

Pale dirishani wameandika ndugu mteja hakikisha umehakiki pesa zako kabla ya kuondoka...huwa siwaamini wale jamaa hasa wanaume..
Wanawake kidogo huwa wanakuwa na aibu..

Kuna jamaa alinipiga 60000 pale NBC nilienda kuchukua million3
Wakati anazipanga vizuri aweke kwenye rubber band anasukuma na kidore gumba zinaanguka chini baadae ukiondoka anazichukua anaweka mfukoñi..
Sasa huo mchezo mimi naufahamu kwaiyo nikamuona,
alivyonipa nikaka pembeni ya dirisha lake palepale nikaanza kuhakiki
Nikamwambia hazijatimia akasema hesabu tena uku anaendelea kuhudumia wateja wengine
Nikamwambia nimehesabu vzuri aisee nilikaa pale dirishani tunabishana hadi manager akaja
Alivyoingia tu kwenye kile chumba cha yule teller aliona pesa zipo pale chini kwemye miguu yake muda huo mimi namuangalia manager usoni nikagundua kitu
Manager akanisikiliza pale wakachukua zile zangu wakazipitisha kwemye machine tena ikaonekana pungufu60 na manager anaziona pale chini hivyo hawezi kuziokota mana ni aibu kwa kampuni..
Manager akaniomba nikakae kwenye banch baada ya dakika kumi niende dirishani wakanipa mzigo wangu nikahakikisha tena pale pale nikakuta zipo sawa nikaondoka..
Pesa zenyewe niliingiziwa nikanunue mzigo na boss nawenyewe wananipiga tena aisee nilikomaa
Huo mchezo ndio niliochezewa na mimi wa kuzirusha chini kwa gumba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nataka kutoa million 10 kwa ajili ya wharfage charges, wacha niwe makini zaidi!
 
Ilikuwaje mkuu hebu sema aliwezaje kutoa wakati form yako ni ya kuweka na sio kutoa
 
Mchepuko umekuja juu.... Why umeumia hivi kwa sababu bwana ako amesemwa? Acheni kujirahisisha.mnachezewa kila siku.
Hizi kizazi Cha Aina yako mnawaza papuchi tu MDA wote, umeona wapi palipoandikwa kutfata demu.

Aisee nyie vijana mko sawa kweli yaani habari yote nyie akili yenu imewatuma papuchi tu.

Hii jf kweli imepatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewaza sana juu ya huu Uzi wako nimekuja kuelewa kuwa hujapigwa 150k wala nini sema unataka ionekane babu kubwa una pesa hasa kipindi hiki cha vyuma kubana na mwisho wa siku mademu wakufuate PM ule papuchi kiulainj kabisa.
Any way tumia kinga achana na nyama kwa nyama!!
Du jamaa mbona umemganda sana mwenzio jaman kisa nini?kama kafata mademu na ww si upost uzi wako ukijionyesha una range na nyumba kali na kesho unaenda ulaya utarudi wiki ijayo ili na ww mademu wakushobokee.

Wivu mwingine hauna maana mazee
 
Benki kama NBC ukiwa na bulk cash uwe makini sana, siwaamini kabisaa, kuna jamaa kila akihesabu mzigo upo pungufu ata kama ulipotoka umehesabu kwa uhakika
 
Back
Top Bottom