Tushare app za live TV katka smartphone

fagix

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
739
552
1.mobdro
Hii in zaidi ya kisimbuzi inafanyakazi vizuri sana kila aina ya channel utazipata kuanzia sports channel km

beIN sports,sky sports,fox sports

Za habari kama BBC news
CBS
CNN
Nakadharika

2.UkTV now
Hii ni kama mobdro INA stream channel nyingi pia za michezo na habari km
BBC
CNN
N.k

3.Sport TV live
Hii km jina lake inakupatia channel za michezo kama vile
Supersport 2
Supersport3
Supersport news
Kwa upande WA music itakupa
Vevo 1 HD
Vevo 2HD
Vevo 3HD

4.ZALUNU
Hii inabase kwa channel nyingi za kiafrica ila za tz hazipo
App hii itakuwezesha kuangalia live channel km

Supersport 1
Supersport 2
Na supersport 3
Pia itakupatia
Vevo TV 2 hadi 4

Nawakilisha huu Uzi ili tuweze kushilikisha apps nzuri zaidi ambazo unazijua Mimi sizijui

Especially naomba mnisaidie kama kuna apps inayoweza kustream TV live za Tanzania
Kama TBC star TV azam TV etc

Niwatakie KAZI njema
 
Naomba mkuu hiyo app km utaikumbuka utuweke hapa
 
Chanel za Tanzania hazipo? mimi nataka ITV ili niwe napata taarifa ya habari hata nisipokuwa nyumbani

Bunyebunye
 
Chanel zenyew hujatupa link sasa 2tazipataje bro? Play store ipo zalulu na ndo huwa natumia hzo zngne 2tazipata wap?
 
Back
Top Bottom