Tuseme kweli: Kati ya Lissu na Mwigulu, nani mwenye heshima mbele ya wananchi?

- Hivi si walikutana kwenye uchaguzi wa Kalenga nani alishinda si ndiye mwenye heshima zaidi au ni heshima hewa ya JF? Halafu walipoenda mahakamani si hata Zitto alimshinda au? Heshima si inapatikana kwa kushinda au hata ukishindwa unapata heshima?

Le Mutuz System

Wewe nae wakati mwingine uwege na akili, kwa mtindio wako wa ubongo ulivyo Lusinde ataendelea kuwa bora mara elfu kumi
 
- Hivi si walikutana kwenye uchaguzi wa Kalenga nani alishinda si ndiye mwenye heshima zaidi au ni heshima hewa ya JF? Halafu walipoenda mahakamani si hata Zitto alimshinda au? Heshima si inapatikana kwa kushinda au hata ukishindwa unapata heshima?

Le Mutuz System

Hivi Vigezo vyako ni vya KIJUHA sana ! Kushinda uchaguzi au kushindwa Kesi si Kipimo cha Utashi wa Mtu . Kumbuka hapa Tz kila kitu kinawezekana Rushwa imetawala kila kona,Rushwa imekuwa Adui wa Haki , wapiga kura hujitokeza wachache sana kisha matokeo mengi huchakachuliwa ,Ushindi wa Ubunge kwa kura chache tena za ujanja ujanja si kipimo cha kumpa Ujiko mwigulu ,wewe Le Mutuz Akili yako inaelea mafuta baada ya kujinenepea hovyo hovyo matokeo yake mafuta yamepanda kichwani na kupunguza Uwezo wa Kufikiri Kama ilivyo kwa capt Komba.
 
Tofauti yao ni kwamba
mwigulu anabebwa na chama kisiasa.
lissu anajitegemea au anajibeba kisiasa

Lisu anaipenda Nchi yake ndio Maana anaipigania, mwigulu yupo after money ,ni bendera fuata Upepo yupo kuwafurahisha wenye Masilahi na muungano huu huu uliojaa mapungufu kibao,Lisu yupo vizuri anawatetea wengi
 
lissu ni next level;hafananishiki hata kidogo na mwigulu.lete hoja ingine ti hii haina uwiano.
 
Aaaakh!,hivi ni vitu viwili tofauti ushindanishavyo,haswaa suala lenyewe ikiwa ni heshima mbele ya jamii.,kwanza elewa mmoja ni mtu mwingine ni bin adam,pamoja na kuwa wote wametoka kati na waa pamoja kunako mtiti wa siasa bado mmoja ni 'mchumi'a tumbo na COMRADE ni GWIJI wa sheria na falsafa."think twice".
 
Tunajua wote bavicha mnamchukia mwigulu kwavile amesambaratisha chama chenu ambacho ndiyo sehemu pekee mliyokuwa mnapata mkate na watoto wenu.
Mimi sio Bavicha wala Chadema, Kwa mtizamo wangu namuona mwigulu kama Tambala la Deki.
 
- Hivi si walikutana kwenye uchaguzi wa Kalenga nani alishinda si ndiye mwenye heshima zaidi au ni heshima hewa ya JF? Halafu walipoenda mahakamani si hata Zitto alimshinda au? Heshima si inapatikana kwa kushinda au hata ukishindwa unapata heshima?

Le Mutuz System

Heshima haiji kwa kushinda tu. Kama ndio mawazo hayo then huelewi maana ya neno heshima. Ukitumia nguvu vitisho rafu rushwa lazima utashinda. But watu wanajua umeshinda kwa hila. Hapo heshima inakuwa haipo. Kuna mbunge wa CCM anaitwa sijui Kangi, au Fulijikombe, yeye anajali mada hajali chama anawalipukia CCM anawalipukia CUF CDM. Mwigulu yeye anajua mtaji wake ni kuishambulia CDM. Hilo ndilo analolijua, ndio maana heshima yake kwa wana ccm ni yule mbunge mchungu wa cdm.
 
- Hivi si walikutana kwenye uchaguzi wa Kalenga nani alishinda si ndiye mwenye heshima zaidi au ni heshima hewa ya JF? Halafu walipoenda mahakamani si hata Zitto alimshinda au? Heshima si inapatikana kwa kushinda au hata ukishindwa unapata heshima?

Le Mutuz System

Wewe William Jumanne Malecela...tambua kwamba Lisu hakuwahi kwenda kupiga kampeni kalenga....nadhani utakua unaota...Pia hapa inaongelewa Mwigulu na Lissu....Zitto katoka wapi? Hivi bro ,una umri gani vile? manake hua napata tabu sana kuelewa kama unayeandika ni wewe unaeonekana mtu mzima......Naanza kuwa na wasiwasi na mie labda nikifika miaka 55 akili yangu itaisha na kuwa kama yako.....
 
Watu wengine huo ushindi wa kubebwa na vyombo vya...., Nec kwa kutokuboresha daftari la wapiga kura! Kama hiyo nec ikifumuliwa tuone kama utauona huo unaita ushindi.Jana tumesoma kuwa book haram walikutana na wana vijiji wenye silaha za jadi wameuawa kama nzige kwa sababu jeshi la Nigeria ni pro book haram kama vilivyo vyombo vya.... ambavyo ni pro nyinyiem.
 
Back
Top Bottom