Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,305
- Hivi si walikutana kwenye uchaguzi wa Kalenga nani alishinda si ndiye mwenye heshima zaidi au ni heshima hewa ya JF? Halafu walipoenda mahakamani si hata Zitto alimshinda au? Heshima si inapatikana kwa kushinda au hata ukishindwa unapata heshima?
Le Mutuz System
Wewe nae wakati mwingine uwege na akili, kwa mtindio wako wa ubongo ulivyo Lusinde ataendelea kuwa bora mara elfu kumi