Waziri Silaa na RC Chalamaila, wananchi tunataka kujua uchukuaji wa ardhi, makazi ya watu Vingunguti ni kwa manufaa ya nani?

Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
4,431
4,222
Wakati wa kipndi cha Rais Magufuli na mheshimiwa Lukuvi walijitokeza madalali wa kampuni ya PMM wakaanza uthamini wa nyumba za watu zaidi ya 4000 na wakazi 70,000 katika eneo la Vingunguti. Kwa kuwa uthamini huo ulikuwa wa kitapeli usiokuwa na manufaa kwa umma Serikali ya awamu ya tano iliingilia kati na kusitisha madalali hao na zoezi liliishia hapo mwaka 2017.

Hivi karibuni zoezi hilo liliianza upya kwa madai kuwa kuna mwekezaji analitaka eneo hilo na zoezi la kuwathamini wakazi likafanyika kwa madai ya kuwaondoa wakazi hao. Hatuna uhakika ni kwa manufaa ya nani na kama uthamini unayo manufaa ya umma ama ni mwendelezo wa yale ya PMM.

Vingunguti ni eneo ambalo Serikali ilishatoa leseni za makazi halali kwa wakazi wake. Familia zimekaa miongo kadhaa, wananchi wanaokaa eneo hili proud yao ni sawa sawa na yeyote mwenye mansion yake Masaki au Mbezi beach. Kwanini hawa wawekezaji wasiwanunue walioko Masaki ama Mbezi beach sawa sawa na hawa wanyonge wa Vingunguti. Hii serikali ni muhimu kusimama na jamii ya watu wake.

Kumuondoa mzee kwa vi milioni kadhaa kwamba aanze upya kutafuta eneo la kusettle ni ukatili usio na kifani. Maeneo haya ni very prime na yako kati kati ya jiji sina uhakika u prime wake unazingatiwa katika uthaminishaji ama la baada ya miaka kadhaa wananchi hawa wataendelea kutopea kwenye umasikini huku hawana share kwa mabilionea watakaojibanza kwenye hizi prime areas za masikini.

Naomba mhakikishe dukuduku hii inamfikia mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam maana ofisi yake inahusika pamoja na waziri wa ardhi mh Slaa watoke wazi kama alivyotoka Lukuvi watoe msimamo wa haya yanayofanywa ni kwa manufaa ya nani.

Ni kwa nini Serikali ya awamu ya tano ilisitisha zoezi hili na wananchi wakamshangilia na sasa uthamini unafanywa kimya kimya bila kuwahusisha wakazi wake.

View: https://youtu.be/f2_59KIcUog?si=cGvzDUOoxEiT5N5c
 
Hapa sasa ndio wananchi watapima ukweli au uongo wa yule aliyekataa rushwa ya TSHS. 300 millioni.

Yote kwa yote tangu Lukuvi kaondolewa hiyo wizara aisee sehemu nyingi imekuwa kilio kwa watu wa hali ya chini kuporwa ardhi zao au hata wakilipwa wanapewa pesa ndogo sana na wajanja wachache wanafaidika.

Yoyote aliye karibu na mheshimiwa Lukuvi amwambie tutamkumbuka sana alivyojitahidi kupunguza uozo uliokuwepo wizara ya ardhi kabla yake na sasa unaanza kurudi kwa kasi ya 5G. Na zaidi sana apokee maua yake kwa kufanya kazi iliyotukuka pale wizarani kabla hajaondolewa. Mungu ambariki sana huko alipo.
 
Wakati wa kipndi cha Rais Magufuli na mheshimiwa Lukuvi walijitokeza madalali wa kampuni ya PMM wakaanza uthamini wa nyumba za watu zaidi ya 4000 na wakazi 70,000 katika eneo la Vingunguti. Kwa kuwa uthamini huo ulikuwa wa kitapeli usiokuwa na manufaa kwa umma Serikali ya awamu ya tano iliingilia kati na kusitisha madalali hao na zoezi liliishia hapo mwaka 2017.

Hivi karibuni zoezi hilo liliianza upya kwa madai kuwa kuna mwekezaji analitaka eneo hilo na zoezi la kuwathamini wakazi likafanyika kwa madai ya kuwaondoa wakazi hao. Hatuna uhakika ni kwa manufaa ya nani na kama uthamini unayo manufaa ya umma ama ni mwendelezo wa yale ya PMM.

Vingunguti ni eneo ambalo Serikali ilishatoa leseni za makazi halali kwa wakazi wake. Familia zimekaa miongo kadhaa, wananchi wanaokaa eneo hili proud yao ni sawa sawa na yeyote mwenye mansion yake Masaki au Mbezi beach. Kwanini hawa wawekezaji wasiwanunue walioko Masaki ama Mbezi beach sawa sawa na hawa wanyonge wa Vingunguti. Hii serikali ni muhimu kusimama na jamii ya watu wake.

Kumuondoa mzee kwa vi milioni kadhaa kwamba aanze upya kutafuta eneo la kusettle ni ukatili usio na kifani. Maeneo haya ni very prime na yako kati kati ya jiji sina uhakika u prime wake unazingatiwa katika uthaminishaji ama la baada ya miaka kadhaa wananchi hawa wataendelea kutopea kwenye umasikini huku hawana share kwa mabilionea watakaojibanza kwenye hizi prime areas za masikini.

Naomba mhakikishe dukuduku hii inamfikia mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam maana ofisi yake inahusika pamoja na waziri wa ardhi mh Slaa watoke wazi kama alivyotoka Lukuvi watoe msimamo wa haya yanayofanywa ni kwa manufaa ya nani.

Ni kwa nini Serikali ya awamu ya tano ilisitisha zoezi hili na wananchi wakamshangilia na sasa uthamini unafanywa kimya kimya bila kuwahusisha wakazi wake.

View: https://youtu.be/f2_59KIcUog?si=cGvzDUOoxEiT5N5c

Vingunguti ni katikati ya jiji....dah....mtafidiwa, shida nini? Hata ungekuwa ma hati miliki, unafidiwa unasepa
 
Fairly position yake Ku compare na jiji lilivyo I can say that . Those monsters of this regime watatumia opportunity ya location to become billionaires kwa mgongo wa walalahoi
 
Hapa ndio utagundua mawazo ya watanzania wenzangu, kwanza hili jambo niliite. La neema na baraka, Kwani hii. Ndiyo njia pekee ya kupunguza makazi holela ambayo ni aibu kubwa Kwa wizara ya Ardhi, ningeomba waanze mapema kushirikiana na Hawa wawekezaji na kutoa mwongozo elekezi, ila tuweze kubadilisha sura ya Jiji kuwe na mpangilio wenye kupendeza, unakuta mtu hapa anatetea squatters, is he mad!?
 
Ujambazi unaofanywa na awamu ndo unaopingwa hivi mtu binafsi ana engineer uthamini wa makazi bila serikali kujua kwa faidaya Nani
 
Just be positive, usifurahie maeneo kuwa squatters, let's changes orient from you, natoa full support maeneo yawe na bei elekezi na Watu waelekezwe kuhama wachukue fidia, Serekali ipime maeneo Mazuri mengine ya makazi, huko kuwe Kwa uwekezaji
 
Utakuta mleta mada hana hata chumba kimoja huko vingunguti! Lakini wakati wenye nyumba zao wamekubali kuachia maeneo yao kwa kuafikiana na wawekezaji ambao wanawalipa vizuri wenye nyumba anatokea mbuzi mmoja analaumu na kulalamika utafikiri yeye ndiye mwenye hizo nyumba.
 
Wakati wa kipndi cha Rais Magufuli na mheshimiwa Lukuvi walijitokeza madalali wa kampuni ya PMM wakaanza uthamini wa nyumba za watu zaidi ya 4000 na wakazi 70,000 katika eneo la Vingunguti. Kwa kuwa uthamini huo ulikuwa wa kitapeli usiokuwa na manufaa kwa umma Serikali ya awamu ya tano iliingilia kati na kusitisha madalali hao na zoezi liliishia hapo mwaka 2017.

Hivi karibuni zoezi hilo liliianza upya kwa madai kuwa kuna mwekezaji analitaka eneo hilo na zoezi la kuwathamini wakazi likafanyika kwa madai ya kuwaondoa wakazi hao. Hatuna uhakika ni kwa manufaa ya nani na kama uthamini unayo manufaa ya umma ama ni mwendelezo wa yale ya PMM.

Vingunguti ni eneo ambalo Serikali ilishatoa leseni za makazi halali kwa wakazi wake. Familia zimekaa miongo kadhaa, wananchi wanaokaa eneo hili proud yao ni sawa sawa na yeyote mwenye mansion yake Masaki au Mbezi beach. Kwanini hawa wawekezaji wasiwanunue walioko Masaki ama Mbezi beach sawa sawa na hawa wanyonge wa Vingunguti. Hii serikali ni muhimu kusimama na jamii ya watu wake.

Kumuondoa mzee kwa vi milioni kadhaa kwamba aanze upya kutafuta eneo la kusettle ni ukatili usio na kifani. Maeneo haya ni very prime na yako kati kati ya jiji sina uhakika u prime wake unazingatiwa katika uthaminishaji ama la baada ya miaka kadhaa wananchi hawa wataendelea kutopea kwenye umasikini huku hawana share kwa mabilionea watakaojibanza kwenye hizi prime areas za masikini.

Naomba mhakikishe dukuduku hii inamfikia mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam maana ofisi yake inahusika pamoja na waziri wa ardhi mh Slaa watoke wazi kama alivyotoka Lukuvi watoe msimamo wa haya yanayofanywa ni kwa manufaa ya nani.

Ni kwa nini Serikali ya awamu ya tano ilisitisha zoezi hili na wananchi wakamshangilia na sasa uthamini unafanywa kimya kimya bila kuwahusisha wakazi wake.

View: https://youtu.be/f2_59KIcUog?si=cGvzDUOoxEiT5N5c

Kwanza hakuna mwenye nyumba ambaye anapinga hili zoezi na vile vile wote ambao walilipwa mwanzoni kabla ya zoezi kusimama wote hakuna aliesema amedhulumiwa pesa zake. Halafu hata kama eneo unasema ni prime linawafaidisha nini hao wakazi
 
Utakuta mleta mada hana hata chumba kimoja huko vingunguti! Lakini wakati wenye nyumba zao wamekubali kuachia maeneo yao kwa kuafikiana na wawekezaji ambao wanawalipa vizuri wenye nyumba anatokea mbuzi mmoja analaumu na kulalamika utafikiri yeye ndiye mwenye hizo nyumba.
Wat wanataka walipwe wakaanze maisha mengine kila mtu analitaka hilo zoezi kule vingunguti mm nashangaa mtoa mada anavyoandika as if Kuna mtu kalazimishwa kuuza eneo lake au ameporwa kinguvu
 
Hapa ndio utagundua mawazo ya watanzania wenzangu, kwanza hili jambo niliite. La neema na baraka, Kwani hii. Ndiyo njia pekee ya kupunguza makazi holela ambayo ni aibu kubwa Kwa wizara ya Ardhi, ningeomba waanze mapema kushirikiana na Hawa wawekezaji na kutoa mwongozo elekezi, ila tuweze kubadilisha sura ya Jiji kuwe na mpangilio wenye kupendeza, unakuta mtu hapa anatetea squatters, is he mad!?
Angalau basi kama watu watafidiwa wapewe hela zinazoendana na thamani ya maeneo wanayotolewa. Vingunguti hata kama ni squatters ila ni mjini kabisa.
 
Wizara imepanga gharama Kwa Jiji lote na Tanzania Kwa ujumla, gharama ilekezi zipo ila Hawa wawekezaji wanalipwa zaidi, count my words, wizara isaidie na sio kukwamisha, na wawaelekeze nini Cha kufanya win win style
 
Wat wanataka walipwe wakaanze maisha mengine kila mtu analitaka hilo zoezi kule vingunguti mm nashangaa mtoa mada anavyoandika as if Kuna mtu kalazimishwa kuuza eneo lake au ameporwa kinguvu
wewe si ajabu ni mmoja wa madalali. watu hawapewi fair deal ,nimnekuuliza kwa nini mh Lukuvi aliingilia kati na wauzaji wakashangilia. huwa kuna regime inayoside up na matapeli ati wawekezaji na zingine zina side up na walalahoi .ni category ipi kwa hii regime ambayo kilio ni nchi nzima
 
Hakuna muuzaji aliyeshangilia baada ya lukuvi kuingilia masuala ya uuzwaji. Wananchi walitaka waziri aje ili aharakishe zoezi la ununuaji wa hayo makazi kwakuwa pmm alidai kuwa amekwama kupata kibali, na mpaka Leo wananchi wanalitaka sana hilo zoezi na wale ambao waliuza nyumba zao mwanzoni hakuna hata mmoja aliyelalamika, wewe unasema eti sio fair deal?? Ingekua sio fair deal hakuna ambae angekubali kuuza na kuondoka.. Watu wamechoka na maisha kule vingunguti unaongea nini wewe.. Haiwasaidii chochote kuendelea kuwa katikati ya mji na Bado unakula mlo mmoja kwa siku.
 
Back
Top Bottom