Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,822
habari wanajf,
nina rafiki ambaye tunachukuliana kama ndugu,ila undugu unaharibika sehemu moja tu,na jamaa/boyfriends wake.Nimekuwa nikisumbuliwa na kila jamaa anaekuwa nae,na mara jamaa akianza harakat zake nimekuwa nikimfahamisha,soon nikimfahamisha ushoga unaisha,atakaa baada ya miezi kadhaa kupita utaona anaanza kunitafuta tena na kuniambia alipitiwa na shetani,nikiwa nakimbia kutambulishwa shemejiz analalama kwanini sitaki kumwona jamaake mpya,kumbe mimi nafanya vile kuepusha wasiwasi kwake.
Sasa hii imekuwa kama mchezo,huyu wa last time,sikuwahi kumwona alitambulisha kupitia picha ambazo tumepiga,na pia alikuwa akinikol kupitia simu ya jamaa(huyo best frend wangu).jamaa akaanza kunisumbua kupitia simu akidai anataka kuniona km shemej,baadae akaanza kumwaga sera hapo hajawahi niona.Kitendo cha kumwambia shost tumekaa zaid ya mwaka naaa....hatuna mawasiliano.Jana kanitext vile vileTUSAHAU YALIYOPITA,NILIKUCHUKIA BURE RAFIKI YANGU,WW NI RAFIKI WA KWELI,UNANIPENDA,TUANZE UPYA UNDUGU WETU,.......nimechoka wanajf
Nisaidieni mawazo,mimi sipendi aishi kiwasiwasi na mahusiano yake,napenda awe na aman,je sahizi nimpotezee au nifanyeje hiyoo mindume yake iache kunifatafata,?
Asanten....kwa wewe utakae nikashifu naomba roho yako ikusute kabla hujaandika.
alamsiki:heh: