unauhakika na unachosema wewe?wananchi hawaaminishi ila wanaona wenyewe.usitusemee.Kaka sikia nikuambie CHADEMA ni Arusha mjini, Moshi Mjini,labda Mbeya Mjini kwine hakuna kitu. Wanataka kuwaaminisha wananchi tu lakini bado hawajajipanga. Wakipata ka kata kamoja basi kelele hizo.
NB: Hawawezi kuchangia thread hii maana iko direct.