Tundu Lisu ni kisiki cha mpingo wapenda haki tunakukubali endeleza tupo nyuma yako

watu ambao hawana kazi utawajua tu ataanza ****** ili aonekane nayeye ameanzisha mada
 
Tushamzungumzia sana kwenye thread ya chadema wawapa raha watanzania. Isome.
 
Tundu Lissu hakika jamaa ni kichwa, jamaa huwa ananifurahisha haswa anaposimamia hoja anayoiamini hapo ndipo huwa namkubali sana Lissu, na kwenye sheria amebobea haswa, Kudos Tundu Lissu, tupo pamoja kamanda.
 
Lissu ni balaa sana katika mambo ya kisheria anatisha mbaya CCM hofu tupu hawajielewi.
 
Tundu Lissu hakika jamaa ni kichwa, jamaa huwa ananifurahisha haswa anaposimamia hoja anayoiamini hapo ndipo huwa namkubali sana Lissu, na kwenye sheria amebobea haswa, Kudos Tundu Lissu, tupo pamoja kamanda.
Naona ni wa kawaida tu kwenye sheria pamoja na kwamba mimi si mwanasheria. Ana kitu zaidi , yeye ni jasiri, mpigania haki, ni mzalendo, anajua kujenga hoja, ana utanzania ndani yake. kuna wanasheria very more bright ila hawana hizi sifa nyingine
 
tatizo amekuwa akifananisha bunge kama mahakamani,,ananiudhi sana ,bungeni kuna wanasheria wenzake mbona hao wamekuwa wanatumia lugha za kibunge zaidi tofauti na lissu? Anapaswa atambue hvyo bunge ni bunge na mahakama ni mahakama afuate kanuni2 anapowaona wabunge wengine hawajuwi sheria ni jambo lingine lakini bunge linaongozwa na kanuni na ktk kujua sheria cyo ndo ujuwe kutunga sheria, na kama yeye na anajiona ndy mtaalamu sana wa sheria aisaidie nchi yetu na cyo kupingana mpaka anakuwa board katika chombo hiki.
 
Hii kichwa Mungu anamakusudio nayo kule mjengoni, kwanza sauti yake ikisikika 2 spika na makatibu wanataharuki, wabunge wa ccm wanajipanga akimaliza kuongea wote wanakua fomated, jamaa namkubali nadhani hata waalimu wake wa sheria kina Prof Shivji wanajivunia zao lao.
 
Weledi wake ktk tasnia ya sheria hauna kifani.Unamzungumziaje?

Mh. Tundu Lissu anaijua sheria hadi hali inayosababisha AG. Werema na Bi. Kiroboto kumuogopa na hivyo kusababisha woga kila wanapoongelea masuala yahusuyo sheria wakijua wakimaliza tu kuongea jamaa anapanda hewani hata kama hajaruhusiwa na spika!.......
 
Ni bora Dr SLAA awe Rais kuliko TUNDU ANTIPHAS LISSU kuwa MBUNGE-By JK 2010 General Compagne
 
tatizo amekuwa akifananisha bunge kama mahakamani,,ananiudhi sana ,bungeni kuna wanasheria wenzake mbona hao wamekuwa wanatumia lugha za kibunge zaidi tofauti na lissu? Anapaswa atambue hvyo bunge ni bunge na mahakama ni mahakama afuate kanuni2 anapowaona wabunge wengine hawajuwi sheria ni jambo lingine lakini bunge linaongozwa na kanuni na ktk kujua sheria cyo ndo ujuwe kutunga sheria, na kama yeye na anajiona ndy mtaalamu sana wa sheria aisaidie nchi yetu na cyo kupingana mpaka anakuwa board katika chombo hiki.
wivu wa kipumbavu.unatamani ungekua yeye,mshukuru mungu kwa jinsi ulivyo.
 
Tunawataka watu kama Lissu bungeni ili pawe pamoto, huyu jamaa namkubali maana anatetea kitu chenye maslahi kwa wengi km sio wote, pia ana nguvu ya hoja .
 
TUNDU ANTIPAS LISU NI SAWASAWA NA WABUNGE MIA WA CCM

hakuna ubishi wabunge 100 wa ******* ni sawa na TUNDU LISU mwenyewe

BIG UP BRO,TUKO PAMOJA KWA SALA NA SUPPORT

ndugu yangu mbna unamdhalilisha mh Lissu, kama wabunge wenyewe hao wa sisiemu kama nkamia,komba, rage, chilolo, kilango, wasira, murji, na makongoro n.k hata wawe bilion hawamfikii lissu
 
Mh. Lissu ni Mtanganyika wa kweli. Kwa jinsi anavyodadavua hoja zake, ndo maana hata baba Mwanaasha amekubali ile sheria ya katiba irekebishwe. Lissu akiendelea kukaa bungeni, CCM itavunjika kama ambavyo imeanza eti na wazo la kumfanya M/kiti asiwe Raisi. Piga kazi Mh. Lissu
 
Back
Top Bottom