Tundu Lisu ni kisiki cha mpingo wapenda haki tunakukubali endeleza tupo nyuma yako

Kwa kazi inayofanywa CHADEMA kwa kwa kweli mnapaswa kupongezwa. Lakini nachukua nafasi kumpongeza Tundu Lisu hakika umeonyesha uajasiri mkubwa na sio mwoga pamoja na kushambuliwa kila upande na ******* na washirika wao kutoka bara hadi visiwani huajalegeza msimamamo wala kutetereka. Umeonyesha kuwa wananchi waliokuchagua hawakufanya makosa pia umedhiirisha kuwa wabunge wote wa CCM hawajakaribia hata kidogo uwezo wako wa kuona mambo. Kilichonifurahisha ni kuwa wewe si mnafiki kama baadhi ya wabunge wengine sisi wapenda amani na usawa tunakuombea maisha kwani pia tunajua uanahatarisha maisha yako mbele ya *******.

Nimekumbuka ule msemo wa JK kwenye kampeni kuliko Tundu Lisu awe mbunge heri Dr Slaa awe rais, hakika wewe ni kisiki cha mpingo

Sitokuwa mwingi wa fadhali kama sitaungana na wana jf wenzangu kumpongeza mpambanaji wa kweli T. Lissu kwa kuwafua ******* nguo hadharani. Basi tusiwe wanafiki kila mmoja kwa nafaisi yake tuwajibike kama Lissu anavyowajibika kwa nafasi yake!!!
 
Lissu ni jembe la ukweli! wabongo tumezoea kurembaremba ndio maana bungeni wanamgwaya kwani anawapa kitu na box. Tunahitaji watu kama yeye kwenye uongozi wa nchi hii iliyokubuhu kwa starehe zisizo na msingi badala ya kuchapa kazi!
 
Lissu ni jembe anastahili sifa za kiongozi tunamuunga mkono na aliendesha vizuri sana suala la marekebisho ya katiba bungeni dhidi ya wana SISIEM waliokuwa wanapinga kifungu na.17
 
Kwenye ukweli uongo hujitenga. Lissu ni mwanasiasa anayekubalika kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja na kusimamia ukweli.
 
Mh. Jaman asilisahau jimbo lake coz ccm wanajipanga vibaya mno hasa diwani wa kata ya siuyu...mie nafanya kaz kwnye jimbo lake na kuna fitna mbaya sana ya ccm at hs tym. Cpend jimbo lipotee guys.
 
Back
Top Bottom